vi-imani vya kujing'ata,chafya,nk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vi-imani vya kujing'ata,chafya,nk

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by snochet, Oct 19, 2012.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  toka nikiwa mdogo kuna vitu nasikiaga na labda vimeingia kichwani mwangu,ila naomba kuwauliza kama ni kweli inatokea,,,,mfano ni ile ya kupiga chafya unaambiwa kuna mtu atakuwa anakuongelea,ama kujing'ata mtu anasema msosi ni mtamu,je nyie inawatokeaga,,,,,je wewe kuna viimani gani unajua au una-amini
  nimeviita vi-imani kwa sababu hatuchukulii seriously na sio lazima
   
 2. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwamba ukiwa umesahau jina la mtu eti yuko chooni , akitoka tu unalikumbuka.
   
 3. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hahaa,hiyo kiboko
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  leo jicho la juu linanicheza sana....sijui my Liberto ameniandalia sapraiz gani leo....
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Amekununulia gunia zima la mabiringanya! Vere sapraiz !
   
 6. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Hivi Ericb52 yuko wapi? utakua na majibu tu! toka nichezee ban hili jukwaa sitembelei hovyo maana!!
   
 7. Shixi889

  Shixi889 JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 322
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  mpaka leo naamini nikiwashwa mkono napata hela...!!!!!teh!teh!teh!!!
  hapa nawashwa balaa....!!!jamani nani ana bahati aniandikie kiasi cha pesa..???maana kama una gundu siwezi kupata ng'oo....!!!!
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sijui ni kitu gani....lakini kwangu huwa inakuwa kweli.....nikiwashwa mkono ni lazima nipate hela......sijui imekaaje hii.....
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Na ukiwashwa kwengineko what next ?
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  au ukiwa safarini kumtembelea mtu ukijikwaa mguu wa kulia basi humkuti home.
   
 11. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  to be honest hki kiimani huwa nakiamini na mara nyingi huwa kweli. . .
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mkuu,hebu toka huko chooni ili nikumbuke jina lako. . . hv waitwa nani vile?
   
 13. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  vitu vingine ni sahihi sema mkishaokoka mnageuza kila kitu ni uchawi.
   
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  me naamini hata kama umeokoka kiasi gani kuna mila/desturi huwezi kuziacha kamwe!
   
 15. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  wakati wa utoto,ku-cross fingers ilikuwa inafanya kazi sana kwangu,,,kama nimefanya kosa na sitaki wazee wakumbuke,,,,na kweli walikuwa hawakumbuki,,,unavifichia mfukoni....utoto raha sana
   
 16. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe uko balanced wengine ni kama wehu kwa hizi imani za kitumwa.
   
 17. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,366
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  P. uongo tu huo, nadhani ni imani potofu tu. Halafu hata pole huji kunipa huku Njiro? Oh my Preta.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  kama ukiwashwa mkono utapata hela mguu ukichea utapata safari je ukiwashwa saburi?
   
Loading...