Vetting ya viongozi sasa inatia mashaka!

Vetting ya viongozi sasa inatia mashaka!

Hii ni kuonyesha kuwa ndani ya serikali ya Rais Magufuli kuna watendaji wanaompiga vita sana Rais kwa kutowajibika, wanampa wrong information knowingly else hii ya Makonda ingejulikana mapema wakati wa vetting!!! Rais Magufuli take care umezungukwa na maadui wengi kwa kazi nzuri unayoifanyia Watanzania.
Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Ma RAS na MaDED wafanyiwe vetting kwani mtagundua akina Bashiteee wengi huko!!!
 
Anaweza kulaumiwa, lakini nilikuwa nakukumbusha tu kuwa ikkiwa ni vetting ilifanywa wakati wa Kikwete.
Kwa hiyo kimsingi JPM asilaumiwe kwa kosa la JK, maana vetting haujitosheleza wakati huo.
 
Kama ikidhibitika
Nadhani kuna haja kama taifa
Tuwe na mjadala mpana
Ya namna gani ya kufanya vetting ya kupata viongozi wetu
Nadhani kutakuwa na tatizo mahala
Sina uhakika kama kuna serious vetting. Nafasi za utendaji serikalini zinapewa makada wa ccm. Tazama nafasi za council directors na ma-DAS.
 
Ninacho Amini jamaa ataundiwa Zenje lingine kama kitwanda ili aebushe hii aibuu.....ataondolewa kwa Sababu nyingine
 
Kwa hiyo kimsingi JPM asilaumiwe kwa kosa la JK, maana vetting haujitosheleza wakati huo.
kama mtu aneshafanyiwa kwa nini irejelewe. ni pale tu kwa dhairi inapoonyesha kuna tatizo hufanyi vetting tena bali anaondolewa kwenye nafasi husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom