Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,114
- 26,006
Hili sakata la vyeti vya Paul Makonda linatia mashaka kwa sisi tunaoiunga mkono serikali ya awamu ya tano.
Mtu unajiuliza amepita pitaje vikwazo vya vetting.
Tunajua fika kuwa hata kama kiongozi hakupikwa chamani, lakini anachunguzwa sana maisha yake kiujumla.
Tusipokuwa careful tutapata viongozi si wasiostahili tu, bali majambazi.
Mbya zaidi hili suala la vyeti vya Makonda hakuna aliyelitolea maelezo ya maana, ukitilia maanani kampeni ambayo haijaisha ya vyeti feki.