Nahitaji nijifunze ufundi wa magari

imm

Member
Apr 25, 2021
13
12
Mimi ni kijana Wa umri wa miaka 22 nimemaliza kidato cha nne ila kukaa nyumbani nikaona noma ndio likaniijia wazo la kutafuta ujuzi mi nikaona nijifunze ufundi umeme wa magari nipo Dar Kwa mwenye garage au fundi Wa garage kama yupo.

Naomba tuwasiliane 0772559432 nipo tayari kumlipa huyo MTU ombi
 
Una ujuzi gani?

Kama hauna, nashauri pitia kwanza VETA bei ndogo sana.

Hafu utaigeuza ajira moja kwa moja. Utatoka tu.
 
Nenda VETA kwanza kisha uje kuomba connection hapa kwa. Kaka zako.
 
Habari wana jf hivi Kwa mwanza Kuna chuo cha kufundisha matumizi ya hii diagnosis kama kipo nijuze kipo sehemu gani
 
Habari wana jf hivi Kwa mwanza Kuna chuo cha kufundisha matumizi ya hii diagnosis kama kipo nijuze kipo sehemu gani
 
Back
Top Bottom