'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Mie nakubaliana na mtoa mada kwa sehemu kubwa sana...japo nafaham dhana ya evolution ina critisicm nyingi.

Napendekeza tu kuliface hili somo open minded. Ni somo pana sana. Hapa napendekeza kwenu kitabu kinaitwa Sapiens ..the history of human kind...cha profesa Yuval Harari.

It is very interesting book about us supported with a lot of evidence.

Binafsi nadhan kwamba in the next 30 to 50 years huenda watoto wakaanza kuzaliwa wakiwa na shingo zilizoinamia mbele...na pia aina flan ya kibiongo....hii ni kutokana na kizazi cha sasa kutumia muda mwingi wakitizama smartphones. Jambo huenda likaingia kwenye genes zetu na kupeleka instruction kwa offspring kwamba mazingira yanataka kibiongo kidogo.

Just think...!
 
Daah, at last kuna mtu anaetumia akili walau kidogo
 
unasema appendix haina kazi mkuu, mkuu ina uhusiano mkubwa sana na immunity yako ya mwili kuna mahali nilisoma ngoja nifukunyue nikupe referrence sayansi haijafika mwisho hicho wanachokuambia hakina umuhimu sasa badae watagundua umuhimu,
 
unasema appendix haina kazi mkuu, mkuu ina uhusiano mkubwa sana na immunity yako ya mwili kuna mahali nilisoma ngoja nifukunyue nikupe referrence sayansi haijafika mwisho hicho wanachokuambia hakina umuhimu sasa badae watagundua umuhimu,
Umuhimu unaweza ukaja as a result of further evolution, lakini as per the original purpose of the organ ( digestion) it is obsolete
 
Dah!..haya bhana
 
Nimekutolea mfano kukuonyesha adaptive capabilities za viumbe, lakini ili mabadiliko yaweze kufikia hadi kwenye ngazi ya vinasaba huwa inachukua hadi miaka milioni 200 na kuendea..
umeenda mbali sana mkuu kwani kuna dawa za kunenepesha makalio na mqaziwa .yaani hata mwezi humalizi mkuu.kinachofanyika ni ku speed up chemical reaction za mwili so ni kweli evolution is taking place sema kama kuna mtu kaamua kubisha basi wee acha tuu abishe chief ila wanakubali kiaina
 
Mikia ni muhimu sana kwa binadamu angekuwa nao. .. wanyama wakubwa huitumia kufukuzua au kuua wadudu wanaowatambalia n.k kuna aina ya nyani Mikia yao inanguvu hadi huitumia kushika matawi kwenye miti.. ukija kwa comodo kenge na mamba faida yake ni kubwa mno.. wanaitumia kama silaha kwao na kuogelea mambo safi... Binadamu angekuwa nayo kipindi cha joto angetumua kushika kipepeo cha kupepea upepo kupepea mwilini
 
We mkuu utabadilika lini!? Tukupe muda gani ubadilike!?
Angalia tembo wenye pembe ndogo wanavyozidi kuongezeka ukilinganisha na wenye pembe kubwa, hii ni kwa sababu ya natural selection ambapo majangili huua wenye pembe kubwa na kuacha wenye pembe ndogo, hivyo kizazi hadi kizazi wenye pembe ndogo eanazaliana na sucess rate ya kukua ni kubwa zaidi ya wenye pembe kubwa, eventually watabaki wenye pembe ndogo na hapo ndio tunasema mazingira yamewafanya tembo wa-evolve na kuwa na pembe ndogo kutoka pembe kubwa, na hiyo pembe ndogo inaweza ikawa ilikuja as a result of a genetic mutation, lakini kwa kuwa imeonekana sucessful katika mazingira ya survival, basi evolution inafanya adaption na kuipa dominance, evolution is real and logical.
 
Hayo mabadiliko uliyotolea mfano ni phenotypic changes, ni kama mtu anavyoenda gym na kubadilisha muonekano wa kifua, tumbo na mikono, ila hizo changes haziwezi kuwa passed on kwa offspring wake, ili ziweze kuwa passed on inabidi ziingizwe kwenye genetic instructions (through mutation and natural selection).
 
Hatuongelei mkia, tunaongelea kimfupa cha mkia kinachoishiaishia, kina faida gani kwa kiumbe kisicho na mkia?
 
Umuhimu unaweza ukaja as a result of further evolution, lakini as per the original purpose of the organ ( digestion) it is obsolete
bado uumbaji na evolution ni vitu tofauti vinavyo weza co exist vipi kama Mungu ndio chanzo cha evolution na yeye ndio aliruhusu ili tufit kwenye mazingira husika.
 
ni sawa mkuu hujakosea my point is anything can change .
 
bado uumbaji na evolution ni vitu tofauti vinavyo weza co exist vipi kama Mungu ndio chanzo cha evolution na yeye ndio aliruhusu ili tufit kwenye mazingira husika.
Kiumbe cha kwanza kuumbwa kilikuwa most likely single celled, kika diversify na kuevolve kuwa viumbe vyote tuvionavyo leo. Nani alikiumba au how it came to be, huo ni mjadala mwingine, hapa nazungumzia kwamba viumbe tuvionavyo leo havikuumbwa at a go na kuwa kama vilivyo leo, bali ni diversity ya single celled organism wa kwanza through evolution.
 
Maelezo mazuri mkuu, siyapingi hata kidogo.
nimekuuliza wewe utabadilika lini, ama tukupe muda gani ubadilike chief!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…