MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,067
- 1,201
Mie nakubaliana na mtoa mada kwa sehemu kubwa sana...japo nafaham dhana ya evolution ina critisicm nyingi.
Napendekeza tu kuliface hili somo open minded. Ni somo pana sana. Hapa napendekeza kwenu kitabu kinaitwa Sapiens ..the history of human kind...cha profesa Yuval Harari.
It is very interesting book about us supported with a lot of evidence.
Binafsi nadhan kwamba in the next 30 to 50 years huenda watoto wakaanza kuzaliwa wakiwa na shingo zilizoinamia mbele...na pia aina flan ya kibiongo....hii ni kutokana na kizazi cha sasa kutumia muda mwingi wakitizama smartphones. Jambo huenda likaingia kwenye genes zetu na kupeleka instruction kwa offspring kwamba mazingira yanataka kibiongo kidogo.
Just think...!