Mavuno ni matokeo ya kilichopandwa watawala wamejivika upofuMungu anapenda sana nchi yetu
Naona vurugu mbeleni ila Mungu atatunusuru
Ni hayo hayo yatatufanya tuandamane. Unapochokoza mara ya kwanza unaweza kusamehewa, mara ya pili pia au hata ya tatu na nne, lakini mtu akishachoka basi atafanya chochote tu. Nakubali kwamba watanzania wanaweza kuchoka na kufanya maajabu na huo ukawa ndio mwanzo wa watu kuheshimiana nchi hii. Mara nyingi watu huheshimiana baada ya tifu.Kama unga ulifika kilo 2200 hatukuandamana, kama ajira zilistop na biashara zikadorora hatukuandamana, vifaa vya ujenzi mfano cement ikatoka 8000 mpaka 15000 hatukuandamana, sukari ikatoka 1600 mpaka 2500 hatukuandamana, tozo zimewekwa kwenye miamala hatukuandamana, local channel hazionekani baadhi ya ving'amuzi hatukuandamana. Mbowe na Lissu wamefanyiwa yao hatujaandamana ni kipi kipya kitatufanya tuandamane?
hawa wataondoka tu bila hata jeshi wala mgambo mmoja, ukiona baridi ni kali ujue panakucha mjomba so usithubutu kuvuta branketi umekwisha.Nadhani akina Lissu wafanye jambo huko nje, waongee na majeshi ya Ujerumani
Mkuu umenana vyema, ngoja machokoraa ya UVCCM yatakavyokuja mbio humu kukushambuliaNayaona mabadiliko makubwa ya kidemokrasia nchini yatakayoambatana na vurugu zitakazosabsbishwa na watu waliochoka kunyanyaswa,kutishiwa, kubambikiwa kesi na kupigwa. Kuna vuguvugu kubwa linakuja siku za usoni, watu hawajakasirika bado lakini muda siyo mrefu watalazimika kukasirika.
Hili halihitaji utabiri wa kinyota lakini kuna kitu ndugu zangu wanausalama wanaita situational analysis, Kama kweli wana situational awareness watazame tu uhalisia wenye watapata majibu. Ukiona taifa limefikia hatua ya watu kutishwa mabomu ya polisi hawaogopi, wanaharakati hawaogopi kulala mahabusu na hata kufungwa jela kwa yale wanayoyaamini basi mamlaka zinapaswa kusoma alama za nyakati na kukubali tu likae kwenye mstari na kuwasikiliza wananchi. Hakuna dola iliyowahi kushinda wananchi walio na hasira duniani, hakuna hicho kitu.
Kama unaamini kwamba hapa naandika kwa kujifurahisha basi waswahili husema kua muda ni mwalimu mzuri.
Hili taifa lilishaanza kujengwa katika misingi ya kidemokrasia muda mrefu huwezi kufananisha na Uganda na Zimbabwe ya Mugabe. Sidi kwetu tofauti ya kiitikadi ni kubwa na ndiyo iliyozaa tofauti kubwa ya kimawazo.
Watawala wetu wasizibe masikio kwa kutamani kuendelea kutawala.
ukapige mswaki sasaNayaona mabadiliko makubwa ya kidemokrasia nchini yatakayoambatana na vurugu zitakazosabsbishwa na watu waliochoka kunyanyaswa,kutishiwa, kubambikiwa kesi na kupigwa. Kuna vuguvugu kubwa linakuja siku za usoni, watu hawajakasirika bado lakini muda siyo mrefu watalazimika kukasirika.
Hili halihitaji utabiri wa kinyota lakini kuna kitu ndugu zangu wanausalama wanaita situational analysis, Kama kweli wana situational awareness watazame tu uhalisia wenye watapata majibu. Ukiona taifa limefikia hatua ya watu kutishwa mabomu ya polisi hawaogopi, wanaharakati hawaogopi kulala mahabusu na hata kufungwa jela kwa yale wanayoyaamini basi mamlaka zinapaswa kusoma alama za nyakati na kukubali tu likae kwenye mstari na kuwasikiliza wananchi. Hakuna dola iliyowahi kushinda wananchi walio na hasira duniani, hakuna hicho kitu.
Kama unaamini kwamba hapa naandika kwa kujifurahisha basi waswahili husema kua muda ni mwalimu mzuri.
Hili taifa lilishaanza kujengwa katika misingi ya kidemokrasia muda mrefu huwezi kufananisha na Uganda na Zimbabwe ya Mugabe. Sidi kwetu tofauti ya kiitikadi ni kubwa na ndiyo iliyozaa tofauti kubwa ya kimawazo.
Watawala wetu wasizibe masikio kwa kutamani kuendelea kutawala.
Bado sn watu wa kuwatoka ndiyo hawa akina Johnthebatisthawa wataondoka tu bila hata jeshi wala mgambo mmoja, ukiona baridi ni kali ujue panakucha mjomba so usithubutu kuvuta branketi umekwisha.
Mkuu angalia Eswatin utawala wa kifalme ulikuwa hauguswi wala kuhojiwa kwa miaka mingi.Leo hii maandamano ni makubwa hadi watawala hawaamini kinachotokea.Wananchi hao waliochoka walikuwa wapi miaka yote? Au unazungumzia Tanzania ya ndotoni?
Can't wait to see that happen, like yesterday. This is in response to the heading of your topic.Watawala wetu wasizibe masikio kwa kutamani kuendelea kutawala
Mene mene tekeli na pelesi....Watakuwa wanasubiri waone maandishi ukutani.....
Waoga huwa hawaandamani Wala kusema. Siku ikifika wao hufanya tu.Kama unga ulifika kilo 2200 hatukuandamana, kama ajira zilistop na biashara zikadorora hatukuandamana, vifaa vya ujenzi mfano cement ikatoka 8000 mpaka 15000 hatukuandamana, sukari ikatoka 1600 mpaka 2500 hatukuandamana, tozo zimewekwa kwenye miamala hatukuandamana, local channel hazionekani baadhi ya ving'amuzi hatukuandamana. Mbowe na Lissu wamefanyiwa yao hatujaandamana ni kipi kipya kitatufanya tuandamane?
Kama unga ulifika kilo 2200 hatukuandamana, kama ajira zilistop na biashara zikadorora hatukuandamana, vifaa vya ujenzi mfano cement ikatoka 8000 mpaka 15000 hatukuandamana, sukari ikatoka 1600 mpaka 2500 hatukuandamana, tozo zimewekwa kwenye miamala hatukuandamana, local channel hazionekani baadhi ya ving'amuzi hatukuandamana. Mbowe na Lissu wamefanyiwa yao hatujaandamana ni kipi kipya kitatufanya tuandamane?
Unaweza jibishana hoja na kichaa?Ona Mbulula nyingine hii, hivi unaona shida gani kujibu hoja ya mtoa mada badala ya kumshambulia? Si ukichaa huu ?
Muache kuota nakujazana maujinga hapo ufipa we mbwiga.Wewe bwege,ulijua kuwa Magufuli hatafika 2025? Kama hukujua hilo,na mengine huyajui,sasa kaa kimya mtoto wa kenge wewe
Mkuu nikuhakikishie tu kwamba Watanzania wamelala usingizi wa pono. Wao hawaelewi chochote zaidi ya amani hata ikiwa watakanyagwa na kupondwapondwa kichwani wao kwao ni hewalla tu. Labda unazungumzia Watanzania wa Kusadikika.Mkuu angalia Eswatin utawala wa kifalme ulikuwa hauguswi wala kuhojiwa kwa miaka mingi.Leo hii maandamano ni makubwa hadi watawala hawaamini kinachotokea.
Unajua kama SADC wanatuma ujumbe wao nchini Eswatin kuzungumzia hali ya mambo?