Very soon, Tanzania is going to face political instability and great transformation

Nayaona mabadiliko makubwa ya kidemokrasia nchini yatakayoambatana na vurugu zitakazosabsbishwa na watu waliochoka kunyanyaswa,kutishiwa, kubambikiwa kesi na kupigwa. Kuna vuguvugu kubwa linakuja siku za usoni, watu hawajakasirika bado lakini muda siyo mrefu watalazimika kukasirika.

Hili halihitaji utabiri wa kinyota lakini kuna kitu ndugu zangu wanausalama wanaita situational analysis, Kama kweli wana situational awareness watazame tu uhalisia wenye watapata majibu. Ukiona taifa limefikia hatua ya watu kutishwa mabomu ya polisi hawaogopi, wanaharakati hawaogopi kulala mahabusu na hata kufungwa jela kwa yale wanayoyaamini basi mamlaka zinapaswa kusoma alama za nyakati na kukubali tu likae kwenye mstari na kuwasikiliza wananchi. Hakuna dola iliyowahi kushinda wananchi walio na hasira duniani, hakuna hicho kitu.

Kama unaamini kwamba hapa naandika kwa kujifurahisha basi waswahili husema kua muda ni mwalimu mzuri.

Hili taifa lilishaanza kujengwa katika misingi ya kidemokrasia muda mrefu huwezi kufananisha na Uganda na Zimbabwe ya Mugabe. Sidi kwetu tofauti ya kiitikadi ni kubwa na ndiyo iliyozaa tofauti kubwa ya kimawazo.

Watawala wetu wasizibe masikio kwa kutamani kuendelea kutawala.
Kisa Cha Cdm chairmwanaume ama ni nini
 
Kama unga ulifika kilo 2200 hatukuandamana, kama ajira zilistop na biashara zikadorora hatukuandamana, vifaa vya ujenzi mfano cement ikatoka 8000 mpaka 15000 hatukuandamana, sukari ikatoka 1600 mpaka 2500 hatukuandamana, tozo zimewekwa kwenye miamala hatukuandamana, local channel hazionekani baadhi ya ving'amuzi hatukuandamana. Mbowe na Lissu wamefanyiwa yao hatujaandamana ni kipi kipya kitatufanya tuandamane?
Until the day matendo yao yakagusa waliolala hadi wakashindwa kuafford msosi wao japo mmoja, basi hiyo itakuwa ni critical point.

Wewe waache wawazingue wamachinga then uje uone shughuli yake
 
hii ndio CCM

na damu ya JPM ina fukuta taaratibuuuu
JamiiForums387957528.jpg
 
43 Reactions
Reply
Back
Top Bottom