covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 4,912
- 10,738
Wakuu, hii ni seriously nahitaji mkopo laki 600,000 marejesho ni ndani ya mwezi mmoja riba nitayoomba nitoe isizidi 25% nipo dar es salaam.
Dhamana naweza kuweka vifaa vyangu vya bakery km mxer ya 5 kg yenye thamani ya zaidi 1.5mil au prover one door yenye gharama ya 1 mil.
NOTE: Juzi nilileta bandiko langu kuhitaji mkopo WA tsh. 800,000tsh. Ila kilichotokea ni kwamba kuna watu wanamizaha Sana.
kuna mtu alijitokeza kimya kimya akanijia inbox kwamba anataka kunipa hiyo pesa hivyo niende buguruni sokoni huko.
kilichotokea nimekwenda hadi huko alafu simu hapokei wala hajibu chochote isee,
acheni masikhara kwenye issue za watu hivi mtu mpaka naweka bandiko hapa alafu mwingine unaona ni sehemu ya kufanya michezo ya kitoto.
Wewe bwege uliyeniyeyusha juzi kima kabisa wewe..!