Very serious: Mkopo wa Tsh. 600,000 unahitajika kwa haraka kwa riba ya 25% ndani ya mwezi mmoja

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,863
10,571
Wakuu, hii ni seriously nahitaji mkopo laki 600,000 marejesho ni ndani ya mwezi mmoja riba nitayoomba nitoe isizidi 25% nipo dar es salaam.

Dhamana naweza kuweka vifaa vyangu vya bakery km mxer ya 5 kg yenye thamani ya zaidi 1.5mil au prover one door yenye gharama ya 1 mil.

NOTE: Juzi nilileta bandiko langu kuhitaji mkopo WA tsh. 800,000tsh. Ila kilichotokea ni kwamba kuna watu wanamizaha Sana.

kuna mtu alijitokeza kimya kimya akanijia inbox kwamba anataka kunipa hiyo pesa hivyo niende buguruni sokoni huko.

kilichotokea nimekwenda hadi huko alafu simu hapokei wala hajibu chochote isee,

acheni masikhara kwenye issue za watu hivi mtu mpaka naweka bandiko hapa alafu mwingine unaona ni sehemu ya kufanya michezo ya kitoto.

Wewe bwege uliyeniyeyusha juzi kima kabisa wewe..!
 
Kwa kuwa uko sirias kuna watu wanaitwa maboto wapo mkuranga nipm nikupe mamba ya simu,kesho unapata mkppo riba 20 asilimia,
utanishukuru baadae ngoja nikuchekie namba hawa ni taasisi.
 
0783 381 696 piga namba hiyo kwenye taasisi hiyo,
nimeshatoa mchango wangu kwako,nenda kesho na documents za dhamana uchukue mpunga.
Nenda asubuhi,mkuranga huyo dada niliekupa namba yake atakupa maelekezo .
Kila la kheri mkuu.
 
Unamaanisha nini mkuu?
1565366706970.png
 
Me ningeweza kukukopesha bila riba, sema ndo hivo niko mbali na uko Dar.
 
Me ningeweza kukukopesha bila riba, sema ndo hivo niko mbali na uko Dar.
Hakuna kinachoshindikana Kama kuna Nia mkuu uaminifu ndio jambo namba moja hayo mengine ni ya ziada.

Naweza kuja inbox tukayapanga vizuri..
 
Pole sana mkuu, bahati mbaya hapa kwa mfukoni Nina miliki 20 elfu pekee.
Dahhh... Inauma sana man, alafu huyo mwana aliyezinguwa jawu sana bodaa
 
BANK ZINATOA MIKOPO, WEWE UKO SAYARI GANI?!
Huu utapeli, mnaojipendekeza mki dhurumuwa/kutapeliwa msije humu kulia.
 
unataka umuachie nani manyoya?

piga picha hivyo vitu unavyotaka vibaki kama dhamana vionekane..mengine badae
Nilisha fanikiwa kupata huo mkopo asanteni wote kwa michango yenu ( Mada closed)
 
Back
Top Bottom