Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

Raisi wa Tff amesema ana muda wa terms 2 za kugombea baada ya kufanya amendment kwenye katiba!

Anasema wanaanzia kuhesabu terms zake pale amendments ilipofanyika, utumishi uliokuwa nyuma ya ile amendment hauhesabiki

Huu ni udeckteta, uchu wa madaraka, haikubaliki!
Hajaisoma historia. Kuna aliyetamka kutawala milele, kilichomkuta hata muda wake wa kawaida hakuumaliza.
 
Sasa ulitaka awalazimishe wakae zaidi?
Yeye hata afanye nini hizo term anazo taka kujiongeza hata zimaliza football ina fitina kuliko hata siasa ataundiwa zengwe atatoka nduki mifano tunayo mingi
1. Seff Blatter
2. Ahmed Ahmad
3. Former UEFA president nmesahau jinae,
4. Jamal Mlinzi
Etoo nae mambo yamechemka
 
Hivi unawajua wajumbe wa Mkutano wa Uchaguzi wanatokana na nini? Unachowaza wewe kinaweza kikawa tofauti kabisa na watakachofanya wajumbe. Watu wapo kimaslahi zaidi, na wajumbe wanahitaji mtu atakayewawekea mazingira mazuri ya ulaji. Mbaya zaidi ukute mtu wanayemtaka pia amefanya vizuri kwenye takwimu za soka, kama alivyofanya Karia
 
Potelea pote, mi Karia namkubali kuliko marais wengine wa TFF waliopita,jamaa kafanya mabadiliko makubwa hadi ligi imepaa Africa na kuwa kwenye ligi 5 bora
 
Hivi unawajua wajumbe wa Mkutano wa Uchaguzi wanatokana na nini? Unachowaza wewe kinaweza kikawa tofauti kabisa na watakachofanya wajumbe. Watu wapo kimaslahi zaidi, na wajumbe wanahitaji mtu atakayewawekea mazingira mazuri ya ulaji. Mbaya zaidi ukute mtu wanayemtaka pia amefanya vizuri kwenye takwimu za soka, kama alivyofanya Karia
Wajumbe ndio wanaweka mtu na kumtoa hao wote nliokuatajia wametolewa na watu wao refer Jamal Malinzi
 
Yeye hata afanye nini hizo term anazo taka kujiongeza hata zimaliza football ina fitina kuliko hata siasa ataundiwa zengwe atatoka nduki mifano tunayo mingi
1. Seff Blatter
2. Ahmed Ahmad
3. Former UEFA president nmesahau jinae,
4. Jamal Mlinzi
Etoo nae mambo yamechemka
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom