Ninamiliki baiskel Phoenix new model turbo, ila imeisha matairi, nasubiri bosi wangu Mhindi anilipe mshahara nibadilishe tairi nianze kuwatesa mtaani.... utanipenda...
Mtu mzima hatishiwi nyau amu...maaaaan m vere high aisee....nnaeza nkakesha na wewe apa na kesho nkaenda job to make more money so i kan smoke more wen my supplier gets back to bizness....amma make a weed cake!!!!!!!!! Weed na mimi vicheche kama nyie noooo....weed makes me think better....i am...
Usipoteze muda. Twende PM nikakupe details zake. Ndo ujue ukungwi ni kwenye keyboard tu.
acha nisepe hapanihusu hp nahiisi nasemwa kiaina
Usipoteze muda. Twende PM nikakupe details zake. Ndo ujue ukungwi ni kwenye keyboard tu.
Ile Verossa unayopewaga lifti ndo inahusika hapa, ulifikiri hatuyaonagi ufanyayo ndani?
Imekula kwako shosti
Naomba nikusetiri..maana hii verossa nilidhani inabeba wanafunzi tu kumbe na nyie mupo!???:tape:
amu huyu mwanaume ndio nani ?ni yule aunt wa magomeni???anayekwenda kitchenpaty??astakhafurlahujue nini kijana huna jipyaaaaaaaa uliotaka kuuleta ni usengery na hapa umekutana na ------ zaidi ya kiranja wa wasengery.
Binafsi wanaume wanaochongachonga umbea kibao kutaka kujua hiki na kile nawachambua tu.
Sasa futa kauliyako ya kumuita usiyemjua kicheche maana ushahidi huna anyway tafuta verrosa basiiii na wewe uwape lifti.
INSHORT FANYA YAKO NIFANYE YANGU MANENO YA KIPUUZI SIFAGILII
Kama na wewe unaona wivu kuwa kama huyubasi utapanda lifti za zaidi ya verosa
huyu jamaa bana asikusumbue wala kukuumiza kichwa mpotezee hana jipya now, twende zetu mazoezini hapa wanga wengi.
Afu wewe bana, kila siku unaniuzia mbuzi kibudu kwenye kiroba.... Ntayasusia haya matembezi ujue....:help:
ila na wewe ulibwedea! kula baba, wakijileta kanyaga twende!` he he he he! mke mwenza snowhite hebu kuja pande hii!Bidada mbona hivyo kosa langu nini?? Bi Suu ila pole kwa kukalili mimi sinatena CELICA uliza kingine na Multiple ID yako sasa sijui utasema nini nina miliki Gari ya hela mingi tomboka kama naweza baelesee Kipaji Halisi amu,wasikutishe mimi niwako mahabuba! Smile Nivea nipo ulinzi mia!!