Kwani kakwambia hana uniform?naenda kumpima uniform za shule....
Umesingiziwa nini sasa hapo? Mlivyotokomea na Honey Faith akarudi na ujauzito, sasa hata haijuilikani ujauzito ni wa nani maana kila mtu anadai ni wa kwake.
Kwani kakwambia hana uniform?
Saluteeeeeee mkuuuNaona homa kali inakusababishia maruweruwe au vipi?
Sasa mbona siku ile ulitokomea nae kwenye boda boda!!Mimi sina Verossa, ningetokomea naye vipi, isitoshe Honey Faith sio mtu wa magari rahisi rahisi kama hayo
Wacha we!! You wish eti?Mi ndo mzazi wake je?
Hahaha nashukuru sana. Ngoja Kwanza hizi salamu nimfikishie bi mkubwawow....nisemeje ili ujue tu nimekumiss kwa kiwango cha juu kabisa, yaani kuliko tulivokuwa tumezimiss bombardier?
atoto alinisemeaga kwa mume wangu Rogie kuwa mie wewe ni mpenzi wangu kwa sumu za bibie hata mume hakufanya uchunguzi basi nikaachwa mchana kweupehapa....hapa... Honey Faith .....why always me? atoto hebu niletee maji ya baridi kwanza

Yani hajui mie na wewe tumetoka wapi kasahau kabisa kuwa wewe ni shemeji kwa rafiki yangu kipenzimi namwangalia tu halafu anataka kuvuruga mahusiano yetu
Jamani jamani unajua utanifanya nipate miscarriage bure....Umesingiziwa nini sasa hapo? Mlivyotokomea na Honey Faith akarudi na ujauzito, sasa hata haijuilikani ujauzito ni wa nani maana kila mtu anadai ni wa kwake.
Hivi vibabu vina nini na wewe dota?Hahaha nashukuru sana. Ngoja Kwanza hizi salamu nimfikishie bi mkubwa
Teh teh teeeeh!! Fumbo mfumbie mjinga.......Yani hajui mie na wewe tumetoka wapi kasahau kabisa kuwa wewe ni shemeji kwa rafiki yangu kipenzi
Mie tena au mtungo?Jamani jamani unajua utanifanya nipate miscarriage bure....
Nakusingizia?si wewe ndio ukileta fitina zako jamani??Umeanza kunisingizia matatizo yako eti!!
Wewe kiumbe nimekushindwa kwakweliTeh teh teeeeh!! Fumbo mfumbie mjinha.......
Mie tena au mtungo?
Hahaha nashukuru sana. Ngoja Kwanza hizi salamu nimfikishie bi mkubwa