Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Nadhani anakaribia dubai mda huuTena ukae mbali maana kwa ugombanishi haujambo, kakamega leo kapotelea wapi?
Nadhani anakaribia dubai mda huuTena ukae mbali maana kwa ugombanishi haujambo, kakamega leo kapotelea wapi?
Listi ipi?Hivi kugombabisha watu hauchi jamani??Nitake radhi, viserengeti boy tena!!
List yako ndio ina viserengeti mie hao ni mwiko kabisa.

Teh teh teeeh!Nadhani anakaribia dubai mda huu
Unatuongelesha kiinglish umetusomesha?I tried carrying the weight of the world
But I only have two hands
Hope I get the chance to travel the world but I don't have any plans
Wish that I could stay forever this way little afraid to close my eyes
Life's a game made for everyone and love is the prize
Matatizo yetu yatakuwa yanafanana, hebu recomend one for me.Pole sana my dia.Inabidi mjikaze mmpeleke mama yenu kwa mtu wa psychology inaonekana ana tatizo si bureee
Ile inayojaa behewa.Listi ipi?Hivi kugombabisha watu hauchi jamani??![]()
Unahitaji nini huko uletewe?perfume,high heels au handbag sema tu my diaTeh teh teeeh!

Anileteeeeee naniliu, si umenielewa eeeh? Ile naniliu.Unahitaji nini huko uletewe?perfume,high heels au handbag sema tu my dia![]()
Wewe ni dr.manyau nyau tu atakufaa kwanza akusafishie nyota yakoMatatizo yetu yatakuwa yanafanana, hebu recomend one for me.

Hayo yako tuHadi kwa manyau nyau unakwenda!! Aisee kumbe ndio maana RRONDO yuko ka zoba, kafolenishwa ila yumo tu.
Umefika salama bae wangu?Wewe mtu huchoki....hamna neno litakalobadili uelekeo wangu.
Kwani nimekuambia ubadili? Kwakweli hakuna neno, chezea manyau nyau!Wewe mtu huchoki....hamna neno litakalobadili uelekeo wangu.
Situmii hizo vitu, mie naogea takasa, najipaka baby care kazi kwisha. Sijipulizii chochote.Umefika salama bae wangu?
Mletee japo product ya Victoria secret apoze machungu
Manyau nyau at work.Hayo yako tu
Vipi nikutafutie nawe pia?Manyau nyau at work.
Nimefika salama bae....huyo simletei hata chewing gum!Umefika salama bae wangu?
Mletee japo product ya Victoria secret apoze machungu