Verossa

Yaani ungejua hata usingeongea.
Hivi Mentor kakulipa sh ngapi? Maana naona umekomaa. Hebu andika yooote alafu niite nije nisome, ngoja kwanza niendelee na uumbaji, ila usisahau kumstua Manga ML kuna boonge la deal.
Hahaha najitahidi tu kukupa ushirikiano, usije ukajinyonga Kwa ajili ya upweke na rejections ulizonazo
 
Haha daddy kama Honey Faith vile, kasema tu kuanzia leo wewe ni baby momma full stop. Umeneng'eneka weee, mtu kimya tu
Kujipa moyo vepeee? ?
Ninaemtaka bado hajajitokeza ujue, hadi ajitokeze ndio nitatulia ila kwasasa ngoja niwafolenishe tu.
 
Amesema kwa babayo eti harudi, eti wewe ndo ulienda kumchumia huo mnukanuka ukaja kumwogesha nao.
Unapinga au unakubali?
Jitahidi....atakaa kwenye mstari ulionyooka.
Si unajua bado yuko 'gizani' kusaka ampendae!
Akhaa amtafute huyo alompa nyota ya ukoko, sio mie. Na mzee wangu hana hata wazo naye
 
Kulea adolescents ni shughuli, mtoto anamjibu mama yake kama mke mwenzie, duuuuh!!
Hebu nenda kajifunze itakusaidia dota.
Hahaha ngoja nikajifunze wajukuu wako wasije niua kwa presha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…