Verossa

Verossa

Muulize Madame B akuambie ni nani!!!

Tangazo si ndo pamoja na vigezo nilivyoweka hapa jana...sasa wewe mwenzangu ukabaki unasifia watoto wa wenzio hata hujisemi nikaona isiwe tabu... nampenda Evelyn Salt tafadhali usiwe sababu ya sisi kukwazana/kuwaruzana/kugombana (hatutoachana🙂)

Penzi letu ni gumu kama kamba za vikwazo,
kila siku linang'aa kama siku ya usafi,
ukituona pita mbali kama mwalimu wa nidhamu,
yeye ni sir-meja na mimi ndo parade commander pamoja tunalisukuma gurudumu...[HASHTAG]#amOut[/HASHTAG]
Tena akae mbali kama waandamanaji wa ukawa wakiona polisi
 
Hivi verissa ningari tamu sana?

verissa ni ya kwako ila verossa ilikuwa gari tamu sana kipindi hicho...siku hizi imefulia..

upload_2016-10-14_11-44-58.jpeg
 
we mchochezi sana usione nimependwa unaanza kuniita chaki!!! Hujui chaki nayo ni muhimu...kuanzia Nyerere mpaka wewe chaki ndo imewafanya kuwa mlivyo..!!!

Nenda kamchangamkie mwalimu mwenzako Madame B alikuambia jana!
atoto anachagua sana, muache aje kupata koroma ahangaike nalo.
Ye muache apishane na gari la mshahara
 
Muulize Madame B akuambie ni nani!!!

Tangazo si ndo pamoja na vigezo nilivyoweka hapa jana...sasa wewe mwenzangu ukabaki unasifia watoto wa wenzio hata hujisemi nikaona isiwe tabu... nampenda Evelyn Salt tafadhali usiwe sababu ya sisi kukwazana/kuwaruzana/kugombana (hatutoachana🙂)

Penzi letu ni gumu kama kamba za vikwazo,
kila siku linang'aa kama siku ya usafi,
ukituona pita mbali kama mwalimu wa nidhamu,
yeye ni sir-meja na mimi ndo parade commander pamoja tunalisukuma gurudumu...[HASHTAG]#amOut[/HASHTAG]

Hataki kumbatio huyo.
Mtoto wa watu alifunguka, ila akajifanya hasikii....wala hamuoni.
Ngoja sasa nikamuwindie classmate wangu mtaa wa pili
 
hapa kuna nini kwenye hili lisredi la zamani, mnafumua makaburi? mnaamsha waliolala? Asprin eti hapa kuna nini?

CC gfsonwin amu Madame B snowhite Paloma Mtambuzi
Hahahaha....anafumua makaburi na mafuvu yake.
Ila mwanafunzi wangu, wahenga wanasema ya kale ni dhahabu, mavi ya kale hayanuki na mdharau kwao mtumwa.

Btw mwanafunzi wangu mtiifu wewe, ni nani aliyekuficha mpaka huonekani popote?
Kila nikiku-search, sikuoni.....au DEMBA ndio anakufanya utusahau?
 
Hataki kumbatio huyo.
Mtoto wa watu alifunguka, ila akajifanya hasikii....wala hamuoni.
Ngoja sasa nikamuwindie classmate wangu mtaa wa pili

Ngoja nianze kuitafuta thread husika..nami kama nakumbuka kitu kama hiki!!!
 
Hahahaha....anafumua makaburi na mafuvu yake.
Ila mwanafunzi wangu, wahenga wanasema ya kale ni dhahabu, mavi ya kale hayanuki na mdharau kwao mtumwa.

Btw mwanafunzi wangu mtiifu wewe, ni nani aliyekuficha mpaka huonekani popote?
Kila nikiku-search, sikuoni.....au DEMBA ndio anakufanya utusahau?

Ngoja nikuibie siri kuhusu Kaizer
Nilikuwa na mke, mwallu jinale
Kaizer akawa baba ushauri/mlezi
kumbe...
 
Ngoja nianze kuitafuta thread husika..nami kama nakumbuka kitu kama hiki!!!
Naingia chimbo, nakuja na jinale kamili.
Raha ya ushahidi, uwe na kila kidhibiti mkononi.

Afu unajua huko kwenu na Paloma wako nakuja kila daily?
Siku nitakugumia ukiwa katikati ya kilele cha gwaride la utambuzi.
Huko utaharibikiwa, hebu hama uje huku utoe tongo
 
atoto anachagua sana, muache aje kupata koroma ahangaike nalo.
Ye muache apishane na gari la mshahara

Huyu ndio atoto:

1. Alianza Kaizer (huyu jamaa mbayaaa!!!!) eti anamu-wish shemejie hepi besdei.
NB: Kwenye hii thread kataja watu wooooooote mimi sikutajwa. (Happy birthday atoto!)

2. Akaja ibra87 akitamka wazi kuwa moyoni mwake jina la atoto limeandikwa..sijui kama bado limefutika.
Page 18 ila atoto bado akamtolea nje. (Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto)

3. Akaja simbilisi mwingine aliyeona ataje watatu kabisa. Anajiita Thanks for giving! (Natangaza nia ya kunasa wachezaji hawa maarufu; mwallu, atoto na miss chagga)

4. Kuna huyu mangi mwenzangu kiwatengu alikuja na swagga za kuzunguka mbuyu...sijui naye alifikia wapi...(Wonders! Kumbe Atoto ni mzuri hivi?)
Cc: shansarie

5. Akamalizia jamaa anajiita jacobian! avutiwa na uandishi tu lakini anaamini ni wazuri sana... (Nawapenda sana atoto, valentina, Evelyn Salt na Miss Chaga)
Bado atoto anajitoa fahamu!

NB: Katika thread zote hizo nimeona sura ya mtu ambaye hasemi ila utamuona tu popote atakapotajwa atoto lazima awepo...huenda anatamani kusema ila maji mengi mdomoni, au bado anasubiria fursa na yeye ajitose! Hata kwenye hii thread ameshapita na kusema neno (ingawa tena atoto kampush away kwa jibu lake). Sitamtaja ila nitakaye m-cc ndiye!
Cc: RRONDO.
 
Back
Top Bottom