Verossa

Verossa

Mimi na wewe tumefahamiana wapi mpendwa? mbona kuniingiza kwenye kesi yenu..hebu nielezeeni kinagaubaga. Yani nimepumzika dakika tano tu mmeshaharibu huku!

Naona kuna sterling mmoja: RRONDO

Kuna rafiki: atoto

Kuna bae: Honey Faith

Kuna Heaven Sent sijajua hasa anacheza role gani kwenye hii movie.
Dota yeye ni mchochezi tu, ana machungu yake akikumbuka yaliyotokea kwa baba yake.

Ila huyo RRONDO ndio sitaki hata kumsikia
 

Attachments

  • upload_2016-10-14_23-43-18.jpeg
    upload_2016-10-14_23-43-18.jpeg
    6.7 KB · Views: 21
Back
Top Bottom