HahahahaJanamke la shoka hilo, uki-beep linapiga dadeeki
Haha ni sawa tu, kama sina thamani kachambie tu upupu au hamira uongeze wezereNitakutumia kuchambia.
Mie first option bi mkubwa. Sipangi foleni ujue ooohSasa unamuachia nani? Labda Heaven Sent japo yeye alikuwa anammendea Mentor alafu Evelyn Salt akamuwahi
Haha utaimba nyimbo zoteIpo siku yangu tuuu, ipo siiiku......
Sijui BAK yuko wapi aniwekee huu wimbo nijipooze na huu mvurugano.
Honey faith ana makoloni lukuki, leo tu alikuwa analalamika kutelekezwa na Kaizer baada ya kuachwa na Rogie.Halafu kwanza Honey Faith na RRONDO si tulikuwa wote kwnye kundi moja la maombi?? Ilikuja kuwaje mkahamia kwenye u-bae!???
Hapana huo tu.Haha utaimba nyimbo zote
Sisi ni wapendanao ooops wapendwa katika Bwana.Halafu kwanza Honey Faith na RRONDO si tulikuwa wote kwnye kundi moja la maombi?? Ilikuja kuwaje mkahamia kwenye u-bae!???
Benny yupo katulia tuli, chezea mnyaki weweHahahaaaaa!!! Benny yuko wapi?
Na ulivyo mbabe alafu mkwe wangu mpoleee!! Usikute anafua bokisa zake muda huu!!Benny yupo katulia tuli, chezea mnyaki wewe
Haha nimeghairi na kujitolea ualimu tena, sio kwa kukataliwa huku mchana kweupeSasa unamuachia nani? Labda Heaven Sent japo yeye alikuwa anammendea Mentor alafu Evelyn Salt akamuwahi
I'm very sweet, very nice. ... ubabe kwa hawa wa nje tu, kwa bae ni-mshweeeetNa ulivyo mbabe alafu mkwe wangu mpoleee!! Usikute anafua bokisa zake muda huu!!
Hahaaaaaa!! Haina hata maana dota, we endelea tu huko huko, huku kushaingiliwa.Haha nimeghairi na kujitolea ualimu tena, sio kwa kukataliwa huku mchana kweupe