Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
umevurugwa wewe zege kwani? Unatia huruma, kubali tu uwe 5th best haha. Utapanga foleni hadi kwenye kulalaNitakufrank ujue, nishavurugwa hapa.
umevurugwa wewe zege kwani? Unatia huruma, kubali tu uwe 5th best haha. Utapanga foleni hadi kwenye kulalaNitakufrank ujue, nishavurugwa hapa.
please dont make me end up on the couch again baeeNooooo wewe endelea kuchat naona ndio shughuli unayoiweza
Mbona unalia lia hahaha. Ngoja nikufanyie maombi ya kuvunja roho za kukataliwaWe sijakimbiwa, nimekimbia.
Hahaha sitaki mie khaaHalafu ukoko wenyewe wa makande
Nimeishatoa maelezo kwa watchman asikufungulie kama uko njiani tafuta hotel hukohuko ulaleplease dont make me end up on the couch again baee
Mie si mtu wa mchezo mchezo atiii.Muulize Mentor akusimulie![]()
Haya, umepotelea wapi tukupe lugha ya fasihi tehI am konfyuzed.... atoto RRONDO Honey Faith Heaven Sent please nielezeeni kwa utaratibu..I am lost!!!
Mie si mchoyo nitakuachia tu akikukubalia maana nyota yangu kali nitapata mpyaYaani nikiiona id yako naona Honey Faith, nishavurugwa.

Mie nina role ya uchokonozi a.k.a uchocheziMimi na wewe tumefahamiana wapi mpendwa? mbona kuniingiza kwenye kesi yenu..hebu nielezeeni kinagaubaga. Yani nimepumzika dakika tano tu mmeshaharibu huku!
Naona kuna sterling mmoja: RRONDO
Kuna rafiki: atoto
Kuna bae: Honey Faith
Kuna Heaven Sent sijajua hasa anacheza role gani kwenye hii movie.
Watyuuuuu na nyota zao. Shoga angu umeoshewa mfedha fedha au mpenda penda? Maana alichooshewa bi mkubwa ni siri yangu tehMie si mchoyo nitakuachia tu akikukubalia maana nyota yangu kali nitapata mpya![]()
Kwa hiyo unanikana ama??sema tu unataka kuelekezwa ngoja mwalimu wa lugha atoto atakuelekezaMimi na wewe tumefahamiana wapi mpendwa? mbona kuniingiza kwenye kesi yenu..hebu nielezeeni kinagaubaga. Yani nimepumzika dakika tano tu mmeshaharibu huku!
Naona kuna sterling mmoja: RRONDO
Kuna rafiki: atoto
Kuna bae: Honey Faith
Kuna Heaven Sent sijajua hasa anacheza role gani kwenye hii movie.
🙂🙂🙂🙂Mimi na wewe tumefahamiana wapi mpendwa? mbona kuniingiza kwenye kesi yenu..hebu nielezeeni kinagaubaga. Yani nimepumzika dakika tano tu mmeshaharibu huku!
Naona kuna sterling mmoja: RRONDO
Kuna rafiki: atoto
Kuna bae: Honey Faith
Kuna Heaven Sent sijajua hasa anacheza role gani kwenye hii movie.
Mambo ya dr manyau nyau hayoWatyuuuuu na nyota zao. Shoga angu umeoshewa mfedha fedha au mpenda penda? Maana alichooshewa bi mkubwa ni siri yangu teh

Maombi naanza na wewe. Sijalia nimesikitika.Mbona unalia lia hahaha. Ngoja nikufanyie maombi ya kuvunja roho za kukataliwa
Ngoja wakuelekeze, mie hata sielewi kinachoendelea.I am konfyuzed.... atoto RRONDO Honey Faith Heaven Sent please nielezeeni kwa utaratibu..I am lost!!!
Bae usifanye hivyo please....kapumzike dawa zisije kukuendesha kesho.Mie si mchoyo nitakuachia tu akikukubalia maana nyota yangu kali nitapata mpya![]()
Ukoko wa makande mtamuuuu.Halafu ukoko wenyewe wa makande