Verossa

Verossa

Hebu Heaven Sent uje unisaidie jambo hapa:

Hawa wawili ni North and South sasa sijajua wana kipi common kati yako

kuna huyu:
165317.jpg

Halafu na huyu:

157962.jpg

Hahahahahahahahahahahaha salute to you bro RRONDO!!!! Hebu tulale kesho kuna mechi kubwa sana aisee!!!
 
Hahahaha mwishowe jamaa atabaki singo halafu mje mniite mchochezi. Hebu malizeni hili suala kiutu uzima. Kwani RRONDO huwezi kumudu wawili???
Whaaaaaaat????? Kumbe umenichoka kiasi hicho!!
 
Hebu Heaven Sent uje unisaidie jambo hapa:

Hawa wawili ni North and South sasa sijajua wana kipi common kati yako

kuna huyu:
165317.jpg

Halafu na huyu:

157962.jpg

Hahahahahahahahahahahaha salute to you bro RRONDO!!!! Hebu tulale kesho kuna mechi kubwa sana aisee!!!
Haha kupatwa kwa "heels"

Huyo wa 2 kama innocent vile, kumbe ana u-alshabib wa hela ndani yake
 
Hivi ujue unaongea na mama yako!!
Sasa nisikwambie ukweli jamani. Au unadhani nyumba yangu ina mvurugano kama yako. Momma don't forget, my name is heaven sent. Mkweo stress anazisikia kwako tu, unavyoachika daily[emoji38] [emoji38] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Alafu unaendeleza uongo.
 
Back
Top Bottom