Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Dota hebu kalaleHehe simooooooooo
Dota hebu kalaleHehe simooooooooo
Msongamano uko wapi tena?!Uwiii jamani na huku tena napo pana msongamano!! Kweli wanaume mmekuwa adimu sana![]()
![]()
![]()
Nilale ili iwejeDota hebu kalale
Hivi kwanini mimi na wewe tunabanana hivi!!Mie mwenyewe sijauelewa mchezo bado
Hata usijilete maana hasira niliyo nayo haielezekiNajua ukisema hivyo unamaanisha nini....nakuja faster!
Hata mie nimewamiss tuJamani me niliwamiss tu kina rogie
Nikuulize wewe kwanini unapenda kula makombo yangu?Hivi kwanini mimi na wewe tunabanana hivi!!

Come on baaaeee.....pleeeeeaaase........Hata usijilete maana hasira niliyo nayo haielezeki
Nooooo wewe endelea kuchat naona ndio shughuli unayoiwezaCome on baaaeee.....pleeeeeaaase........
Hainaga makombo ujue, kwahiyo huu ni mchepuko wa muda gani? Kwakweli nawe haujambo.Nikuulize wewe kwanini unapenda kula makombo yangu?![]()
Makubwaaa. Bi mkubwa ana nyota ya ukokoNikuulize wewe kwanini unapenda kula makombo yangu?![]()
Nitakufrank ujue, nishavurugwa hapa.Nilale ili iweje
Mie si mtu wa mchezo mchezo atiii.Muulize Mentor akusimulieHainaga makombo ujue, kwahiyo huu ni mchepuko wa muda gani? Kwakweli nawe haujambo.

We sijakimbiwa, nimekimbia.Mmh mama angu naona una nyota ya kukimbiwa tu khaaa
Halafu ukoko wenyewe wa makandeMakubwaaa. Bi mkubwa ana nyota ya ukoko
Yaani nikiiona id yako naona Honey Faith, nishavurugwa.Ipi tena rafiki?!