Verossa

Verossa

Somo ukilichukia huwezi kuliweza, halikadhalika mwalimu ukimchukia na somo lake unalichukia pia, so ndio ujue ni namna gani upendo una nguvu, 'upendo hushinda yote'.

Ni kweli asee, yaani nilivyoanza kulipenda ndo nikawa naliweza mpaka nikawa kipanga eti..
 
Mie sio mchokozi hata kidogo.

Tena mchochezi hasaa!

Asante mkuu BAK for the song!

siku hizi huyu mdudu anayejiita TCRA hapendi hata hadithi au ushuhuda hahahhahhaa


Aaah mpya hicho kisingizio nimekishtukia...ila poa tu! najua one day utanihadithia!

ngasyaghana nasimo....ikisungu.

Duh katika siku zote, leo siku ya Nyerere aliyetuunganisha kwa kiswahili, ndo umeamua uongee kimakonde sio!!!
 
we mchochezi sana usione nimependwa unaanza kuniita chaki!!! Hujui chaki nayo ni muhimu...kuanzia Nyerere mpaka wewe chaki ndo imewafanya kuwa mlivyo..!!!

Nenda kamchangamkie mwalimu mwenzako Madame B alikuambia jana!
We unajua kabisaaa kwani kwako nakuwa mchochezi, ulinidanganya nikasubiri tangazo mpaka nikachoka.
Hiyo ya mwalimu mwenzangu ni yupi nikaichangamkie fasta?
 
We unajua kabisaaa kwani kwako nakuwa mchochezi, ulinidanganya nikasubiri tangazo mpaka nikachoka.
Hiyo ya mwalimu mwenzangu ni yupi nikaichangamkie fasta?


Muulize Madame B akuambie ni nani!!!

Tangazo si ndo pamoja na vigezo nilivyoweka hapa jana...sasa wewe mwenzangu ukabaki unasifia watoto wa wenzio hata hujisemi nikaona isiwe tabu... nampenda Evelyn Salt tafadhali usiwe sababu ya sisi kukwazana/kuwaruzana/kugombana (hatutoachana🙂)

Penzi letu ni gumu kama kamba za vikwazo,
kila siku linang'aa kama siku ya usafi,
ukituona pita mbali kama mwalimu wa nidhamu,
yeye ni sir-meja na mimi ndo parade commander pamoja tunalisukuma gurudumu...[HASHTAG]#amOut[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom