Verossa

Verossa

Huyu ndio atoto:

1. Alianza Kaizer (huyu jamaa mbayaaa!!!!) eti anamu-wish shemejie hepi besdei.
NB: Kwenye hii thread kataja watu wooooooote mimi sikutajwa. (Happy birthday atoto!)

2. Akaja ibra87 akitamka wazi kuwa moyoni mwake jina la atoto limeandikwa..sijui kama bado limefutika.
Page 18 ila atoto bado akamtolea nje. (Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto)

3. Akaja simbilisi mwingine aliyeona ataje watatu kabisa. Anajiita Thanks for giving! (Natangaza nia ya kunasa wachezaji hawa maarufu; mwallu, atoto na miss chagga)

4. Kuna huyu mangi mwenzangu kiwatengu alikuja na swagga za kuzunguka mbuyu...sijui naye alifikia wapi...(Wonders! Kumbe Atoto ni mzuri hivi?)
Cc: shansarie

5. Akamalizia jamaa anajiita jacobian! avutiwa na uandishi tu lakini anaamini ni wazuri sana... (Nawapenda sana atoto, valentina, Evelyn Salt na Miss Chaga)
Bado atoto anajitoa fahamu!

NB: Katika thread zote hizo nimeona sura ya mtu ambaye hasemi ila utamuona tu popote atakapotajwa atoto lazima awepo...huenda anatamani kusema ila maji mengi mdomoni, au bado anasubiria fursa na yeye ajitose! Hata kwenye hii thread ameshapita na kusema neno (ingawa tena atoto kampush away kwa jibu lake). Sitamtaja ila nitakaye m-cc ndiye!
Cc: RRONDO.
Hahahaaaa!! Yaani Mentor we ni konyo!! Sasa tatizo kati ya wote hapo hakuna mwalimu hata mmoja, RRONDO alishanitenga eti sina eksipozha, mara oooh napenda sana pesa, kwahiyo ilibidi niishie kummezea mate tu.
 
Duuuh imekuwaje hii 'mention' sijaiona! Yaani mwenyewe naona namendea kimya kimya kumbe kuna ma-detective akina Mentor wananiona!
 
Ngoja nianze kuitafuta thread husika..nami kama nakumbuka kitu kama hiki!!!
Nimerudi na ushahidi
Nitakulaumu sana madam, why hukuniita?

Haya hapa kataa
Screenshot_2016-10-14-22-33-25-1.png
Screenshot_2016-10-14-22-33-13-1.png
Screenshot_2016-10-14-22-32-59-1.png
 
Unammendea nani kimya kimya RRONDO jamani, mbona unataka kunisababishia huu usiku uwe mrefuu namna hiyo!
Nakumendea wewe, nishajua kituo chako cha kazi, subiri ugeni. Nishajifunza siku hizi straight to the point, mambo ya salamu siku nzima nimeshaacha.
 
Hahahaaaa!! Yaani Mentor we ni konyo!! Sasa tatizo kati ya wote hapo hakuna mwalimu hata mmoja, RRONDO alishanitenga eti sina eksipozha, mara oooh napenda sana pesa, kwahiyo ilibidi niishie kummezea mate tu.

Unataka mwalimu menzako sio! Endelea

Duuuh imekuwaje hii 'mention' sijaiona! Yaani mwenyewe naona namendea kimya kimya kumbe kuna ma-detective akina Mentor wananiona!

Hebu nisaidie kumjibu hapo juu...ni kweli ulim-diskwalifai!???
 
Hapo huoni unanisingizia tu, hapo sijaona kabisa aloonyesha interest.
Wewe ulitaka wa Idara yako, Mgirik kaonesha nia dhabiti kaka wa watu, lakini bado hujamfikiria.

Au kwa kuwa unachat na mwingine RRONDO?
Najua ukimaliza 'kusalimiana' nae, utanijia nikutafutie huyo Mgirik myahudi.

CC: Mentor kama shahidi mkuu wa usiku huu, usilale mpaka upaone hapa
 
Nakumendea wewe, nishajua kituo chako cha kazi, subiri ugeni. Nishajifunza siku hizi straight to the point, mambo ya salamu siku nzima nimeshaacha.
Uwiiiii Mentor yaani ukisikia kuamka kesho saa5 ndio leo, nitalala usingizi kama mtoto mdogo, maana nimemmendea RRONDO muda mrefu leo atimae feelings zimekuwa mutual.
 
Wewe ulitaka wa Idara yako, Mgirik kaonesha nia dhabiti kaka wa watu, lakini bado hujamfikiria.

Au kwa kuwa unachat na mwingine RRONDO?
Najua ukimaliza 'kusalimiana' nae, utanijia nikutafutie huyo Mgirik myahudi.

CC: Mentor kama shahidi mkuu wa usiku huu, usilale mpaka upaone hapa

Hapa mwenye tatizo ni atoto wala haina ubishani. Yuko bize siku hizi kula pensheni ya Asprin!

Ama hakika kabla jimbi hajawika atakuwa amekumbuka maneno yako!!!
 
Back
Top Bottom