Verossa

Hakika ilikuwa mchana, ukawa usiku! Verossa ikanunuliwa! Morning Mentor!
 
Last edited by a moderator:

Makubwa
jf kuna mambo
 
Last edited by a moderator:
yaani leo nilivokaaa kimagomeni magomeni

wenzako tunaongelea airforce one wewe unazungumzia sijui kijigari gani
pole sana wewe kwa kuja mjini na ticket ya bus enzi zao stendi ipo kisutu
kibibi unayejidai kwenda sambamba na kina amu

Hahahaa haaaa yaaani nimecheka
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
tulia mkaka kuna waliokuja mjini na chupi,skentait undersket na sketi na wengine wakaingia mujini na chupi tu na sketi yake huwezi wafananisha watu hawa kwiwkiwkwiwkwiwkwi.

Hahahaa haaaa uwiii nimecheka

lol nilikuwa cjawahi kusoma huu uzi na ckutaka ku coment ila mmmh
 
Mentor tuheshimiane ujue mi nakuonaga kama catalyst fulani tuheshimiane kufunua midono wengine sekunde tu na hiko kijeba chako kinachokufata kigamboniii kiambieeee kikuambieeee meeeeengiiiii

owkeyyyy
Hahahaa haaaa uwiii
jf jf jf jf
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…