Verify you are not robot!!

Asante nimekupata
 
πŸ˜€πŸ˜ƒ, Dah hii vita ya kiteknojia ni ngumu sana, ukizidiwa umeliwa
 
Hii cha mtoto, kuna moja niliwahi kukutana nayo kwenye website ya mchina ni hatari πŸ˜‚ πŸ˜‚ sijui waliwaza nini devs wa ile site yaani sio bots tu binadamu kupita ile verification ni mtiti..
 
Hii cha mtoto, kuna moja niliwahi kukutana nayo kwenye website ya mchina ni hatari πŸ˜‚ πŸ˜‚ sijui waliwaza nini devs wa ile site yaani sio bots tu binadamu kupita ile verification ni mtiti..
Sasa kama wanaweka ngumu hivyo inakuaje? πŸ˜ƒ
 
Jamaniii msaada, mtusaidie namna ya kuvuka mitihani ya hawa Robots,
Mie hadi nachoka sasa, khaaah 😒😒😒😭😭
 
Jamaniii msaada, mtusaidie namna ya kuvuka mitihani ya hawa Robots,
Mie hadi nachoka sasa, khaaah 😒😒😒😭😭
Unatumia VPN ama kawaida Tu? Most of time ukiwa na ip mbovu mbovu kila sehemu unasimamishwa unaekewa hivyo
 
Unatumia VPN ama kawaida Tu? Most of time ukiwa na ip mbovu mbovu kila sehemu unasimamishwa unaekewa hivyo
VPN ipo, ila natumia kawaida, na Ip Mbovu ndo ipii??

Nahitaji msaada wako tafadhari. πŸ™
 
VPN ipo, ila natumia kawaida, na Ip Mbovu ndo ipii??

Nahitaji msaada wako tafadhari. πŸ™
Jaribu kutumia 1.1.1.1 playstore uone kama tatizo bado lipo.

IP mbovu ni kama unatumia VPN ya vichochoroni IP zake zinakua sio nzuri kila MTU anazi abuse hivyo mwenzako akifanya kosa unahesabika ni kama wewe, ndio maana kila sehemu unaambiwa uverify kama sio robot.
 
Oooh sawa!! Ila mie sijawahi tumia VPN ktk hizi app za mitihani wa robot.
Afu hii 1.1.1.1 ni km inasumbuaga kwangu vile.

Nweiii hakuna namna nyingine? Nisaidie plz.
 
Tumia akili ..hiyo ni mbinu ya kuzuia hujuma za roboti VIRUS... yaani inatengenezwa software ya kuhujumu mtandao husika kwa kuufanya uwe bize na kuuover faction.... hizi mbinu zilishwa tumiwa hata hapa JF NA ROSTAM AZIZI KUHUJUMU JF NA ZINATUMIWA NA CCM KUHUJUMU MITANDAO MBALIMBALI
Hii kitu inashangaza, inachekesha na inaudhi pia! Yani imefika mahali vinyago tulivyovichonga wenyewe vinatu commandπŸ˜‚

Eti robot linakuambia usithitishe kama wewe sio robot
 
Sawa ngoja nitumie akili kulikubalia robot linavyoraka asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…