Uliomba nafasi gani kwaniWakuu habari zenu!
Nmeitwa kwenye interview ya kampuni katika kitengo cha “VERIFICATION OFFICER”. Nilitaka kujua hichi kitengo kinahusiana na nn? Kwasababu ndo mara ya kwanza kukisikia.
Karibu
Aha ha haaaa! Daaah!!!Najitambua siwezi kuwa verified
ulipata hii kaziWakuu habari zenu!
Nimeitwa kwenye interview ya kampuni katika kitengo cha “VERIFICATION OFFICER”. Nilitaka kujua hichi kitengo kinahusiana na nini? Kwasababu ndo mara ya kwanza kukisikia.
Karibu
Mara nyengine ukiomba kazi weka rekodi za job description na job specification. Zitakusaidia kujuwa unahitajika ufanye nini. Hiyo ingewezekana u verify kwenye sewage system plant kama hichi kinyesi ni cha beberu au mtu mweusi.Hapana