Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,831 Reaction score 47,437 Jan 3, 2026 #321 OgaBoy said: Unatatizo la AKILI soma heading na ulichoandika Click to expand... Aisee kukosea kuandika mtu anatukanwa kuwa ana tatizo la akili sio..
OgaBoy said: Unatatizo la AKILI soma heading na ulichoandika Click to expand... Aisee kukosea kuandika mtu anatukanwa kuwa ana tatizo la akili sio..
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,831 Reaction score 47,437 Jan 3, 2026 #322 pilato93 said: USA ina mafuta mengi sana sidhani kama shida yao ni mafuta Click to expand... Trump anasema wataiongoza Venezuela mpaka watakapofanya uchaguzi na makampuni ya USA yataenda kuchimba mafuta wewe unasema USA wana mafuta mengi mkuu
pilato93 said: USA ina mafuta mengi sana sidhani kama shida yao ni mafuta Click to expand... Trump anasema wataiongoza Venezuela mpaka watakapofanya uchaguzi na makampuni ya USA yataenda kuchimba mafuta wewe unasema USA wana mafuta mengi mkuu
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,112 Reaction score 138,055 Jan 4, 2026 Thread starter #323 upepo 7 said: Nafikiri wale tuliozoea kuwabeza jamaa wamefunga mdomo. utasikia mnadangaywa na hollywood haya kiko wapi sasa Click to expand... Hii naisubiri Netflix
upepo 7 said: Nafikiri wale tuliozoea kuwabeza jamaa wamefunga mdomo. utasikia mnadangaywa na hollywood haya kiko wapi sasa Click to expand... Hii naisubiri Netflix
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,112 Reaction score 138,055 Jan 4, 2026 Thread starter #324 OgaBoy said: Unatatizo la AKILI soma heading na ulichoandika Click to expand... Aisee.
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,112 Reaction score 138,055 Jan 4, 2026 Thread starter #325 Isanga family said: Aisee kukosea kuandika mtu anatukanwa kuwa ana tatizo la akili sio.. Click to expand... Hawa vijana ni wa kuwaonea huruma. Usione wanatukana watu wasiowajua kuna vitu kichwani vinawasumbua.
Isanga family said: Aisee kukosea kuandika mtu anatukanwa kuwa ana tatizo la akili sio.. Click to expand... Hawa vijana ni wa kuwaonea huruma. Usione wanatukana watu wasiowajua kuna vitu kichwani vinawasumbua.
O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 3,954 Reaction score 6,038 Jan 4, 2026 #326 Isanga family said: Aisee kukosea kuandika mtu anatukanwa kuwa ana tatizo la akili sio.. Click to expand... Bora hiyo , Mimi humu mnaniambiaga mlevi
Isanga family said: Aisee kukosea kuandika mtu anatukanwa kuwa ana tatizo la akili sio.. Click to expand... Bora hiyo , Mimi humu mnaniambiaga mlevi
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,831 Reaction score 47,437 Jan 4, 2026 #327 OgaBoy said: Bora hiyo , Mimi humu mnaniambiaga mlevi Click to expand... Mlevi ni mlipakodi mkubwa mkuu maana unatumia vitu vyenye nembo ya TRA
OgaBoy said: Bora hiyo , Mimi humu mnaniambiaga mlevi Click to expand... Mlevi ni mlipakodi mkubwa mkuu maana unatumia vitu vyenye nembo ya TRA