Vedasto Mathayo pamoja na Marwa Mathayo, wataandamana kupinga mauaji ya Albino

Voice of Mara

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
358
127
Kuna kikundi cha marafiki wa Lowassa (Friends of Lowassa)Musoma mjini siku ya kesho kikongozwa na Veda Mathayo pamoja na Marwa Mathayo. wanaingia barabarani kupinga mauaji ya mahlbino.

Swali je ingekuwa ni Chadema ndo wanaingia barabarani ? IGP si angezuia na hata store ya mabomu kufunguliwa kesho?
 
Kuna kikundi cha marafiki wa Lowassa (Friends of Lowassa)Musoma mjini siku ya kesho kikongozwa na Veda Mathayo pamoja na Marwa Mathayo. wanaingia barabarani kupinga mauaji ya mahlbino.

Swali je ingekuwa ni friends of Chadema? IGP si angezuia na hata store ya mabomu kufunguliwa kesho?

Hapo hakuna swali Mkuu.... Kajipange tena
 
Kuna kikundi cha marafiki wa Lowassa (Friends of Lowassa)Musoma mjini siku ya kesho kikongozwa na Veda Mathayo pamoja na Marwa Mathayo. wanaingia barabarani kupinga mauaji ya mahlbino.

Swali je ingekuwa ni friends of Chadema? IGP si angezuia na hata store ya mabomu kufunguliwa kesho?

Friends of chadema ipi mkuu?

Chadema unayoijua mimi haina hayo makundi.
 
Chagadema hawana muda na albino, wakikatiza anga zao hawakawii kuwaomba mchango ili helkopta iruke. Otherwise ombeni na nyie maandamano ya namna hiyo ili uthibishe kauli yako.
 
Yaaaani hizo ni kufuru. Muwaue nyie tena muandamane ninyi wenyewe
 
Back
Top Bottom