Vazi la Kimasai

Lemaasai

Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
29
Points
0

Lemaasai

Member
Joined Nov 3, 2013
29 0
Arusha : wengine walikatazwa kuingia kwenye mahoteli na hata maofisini kisa vazi la Kimasai.
DAR: getini kwa mkuu wa wilaya ya Temeke amezuiwa kijana wetu kisa kavaa Kimasai eti vazi la kijinga by jamaa eti wa Usalama
ZANZIBAR: aliwapeleka wawekezaji kwa Makamo wa Rais ili wajadili uwekezaji, pamoja na kuwa amewatoa nje ya nchi hadi hapo getini alizuiwa yeye na wawekezaji waliingia peke yao bila mwenyeji wao kisa mmasai hakuwa na kofia na vazi lake pia sio la heshma.
NDUGU WAAFRIKA VIPI TENA?
 

Forum statistics

Threads 1,392,165
Members 528,552
Posts 34,100,357
Top