Kuhusu vazi la taifa mbona kimya sana?

Kuhusu vazi la taifa mbona kimya sana?

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,118
Reaction score
4,238
Hapo nyuma ilikuwa mara kwa mara watu wanajadili vazi la taifa na kila mtu anapendekeza vazi na alikuwa anamwaga hoja zake za "kwanini vazi hilo"

Wengine walionelea Watanzania wenzao tupige misuli au kanzu wakati "mabwanga" tu wengine yalitushinda ukivaa unajihisi kama upo uchi

Wengine wakaonelea eti "vazi la kimasai" ndo liwe vazi la taifa yaani watu ambao hata historia ya makabila ya Tanzania hawamo kivile leo eti ndo nguo yao ipitishwe

Mara baadhi yao wakasema suruali na shati mara makoti ya mipasuo ya "pishan'jambe" duh! Mara wengine wanasema tuvae malapa ya umoja na makobazi

Wengine wakaja na wazo la kuvaa kanga mbili kwa wamama ipitishwe kama vazi rasmi kwa wanawake wa taifa hili

Hayo na mengine mengi watu walikuwa wakipendekeza lakini mpaka leo sijaona mwafaka kwa serikali kutangaza rasmi vazi la taifa.

Ugumu wa kutangaza jambo hilo unajitokeza zaidi mimi nadhani kwa mambo matatu tu tukijikita kudili na hayo basi vazi la taifa wala haitakuwa ishu kulibuni na kulitangaza

Kwanza ni mfanano na mavazi ya mataifa mengine. Yaani vazi utakalotaka kulichagua tayari lina wenyewe mf.suti ulaya, suti nyeusi ya neck tai kama kunguru hiyo ni china ya Mao, nguo za kushonesha vitenge Afrika magharibi huko, kaunda suti sijui wapi kule, nusu kanzu Pakistan yenye likofia kwa wahindi wa Punjab kule, nk

La pili ni wingi wa makabila yenye mavazi tofautitofauti. Hapa napo pagumu maana vazi la taifa si ndo litatakiwa kuwaunganisha zaidi na siyo kuwagawa. India na wingi wake wa makabila na dini ila mavazi yao ni mamoja tu na yanaeleweka kwa wote

Jambo la tatu ni mgawanyiko wa mavazi yenyewe. Yaani inabidi ubuni vazi la juu na chini, viatu na vazi la kichwani ikibidi. Hapo ndo hata wapendekezaji walikuwa wakichemka sana kwani napo panaumiza kichwa kidogo.

Cha kuonesha kwamba serikali haijali hilo ni kwa kutoa mwongozo wa mavazi kwa watumishi wa umma ambao mavazi yake yaliyotajwa humo yote ni "copy, paste and install" ya mataifa ya magharibi.

Yaani ofisini ukivaa dera kosa kanzu kosa msuli kosa kofia yoyote kosa lubega kosa kuvaa hirizi zining'inie zikionekana waziwazi kosa malapa kosa baibui kosa kobazi kosa kujitanda mashuka kosa sendeu/ katambuga kosa kaniki kosa kanga/kitenge kosa kuvaa kitomboni kosa majuba kosa kizibao kosa kushika bakora ofisini kosa

Sasa kama yote hayo serikali inakataza kwenye ofisi zake, mikutano na shughuli za kiserikali (ambapo hayo ndo mwonekano wa wananchi waTanzania asilimia kubwa) je vazi lipi litafaa sasa

Bora tu mngewaachia watu vurugu mechi kama ilivyo kwa mitaani uvae unavyojisikia tu ilimradi nguo haivunji maadili.

Kwani kanga zina shida gani mtu akivaa ofisini au bakora na msuli, au kwani dera baibui na kaniki zina athari gani kazini. Mtu akipiga lubega zake safi zinavuruga nini katika utendaji kazi kwani?. Vipi kuhusu vilemba majaketi mabuti na malapa au vikoi na kuvaa mashuka viunoni au kina mama kujifunga "kitomboni" ndo utanzania wetu, si mtuache tuvae? Kwa nini kuyapuuza haya na kupigia upatu masuti na matai na magauni marefumarefu utadhani sote ni watu wa kanisani au misikitini?

Siyo kwamba napepelea ili kupitishwe vazi la watu fulani lionekane bora tuwe tunavaa taifa zima
wala
Siyo kwamba napondea ili vazi la watu fulani lionekane duni na kudharauliwa, hapana
Bali
Ninachoonelea tusitoe sana kipaumbele kwa mavazi fulani (tena ukute hata siyo ya nchi zetu kiasili) tukayatelekeza na kupuuza baadhi ya mengine
 
Hahaha kachelewa nani, hakuna kitu kama hicho.
Tumeshachelewa.

Mimi nilipenda kiswahili kisitumie HERUFI za kiarabu au kizungu tuuunde maumbo ya herufi zetu ili kufanya iwe unique na ya kipekee kama lugha zingine niaambiwa it's too late for that!
 
Hii nchi ukipewa uongozi kisha ukafa masikini linakuwa kosa kubwa sana kuliko hata kuua. Ukiiba utasikia "fisadi" usipoiba "mjinga" Vazi la taifa lilikuwa pengo la kufuja pesa maana ziliundwa mpaka kamati na bodi mbalimbali kwa lazima.

Joka lingine lililotafuna taifa ni katiba mpya, ile pesa iliyotumika kukarabati ukumbi ingetosha kununua microscope kwa shule zote za sekondari zenye maabara na chenji ingebaki
 
Ukanjanja mwingi mambo mengi Tanzania watu wanafanya kwa mihemko
 
Vazi la taifa ni kama vitambulisho vya machinga. Sio lazima uwe nalo
 
Vazi la taifa Ni DERA kificha shepu. kila mmbea analo
 
Hapo nyuma ilikuwa mara kwa mara watu wanajadili vazi la taifa na kila mtu anapendekeza vazi na alikuwa anamwaga hoja zake za "kwanini vazi hilo"

Wengine walionelea Watanzania wenzao tupige misuli au kanzu wakati "mabwanga" tu wengine yalitushinda ukivaa unajihisi kama upo uchi

Wengine wakaonelea eti "vazi la kimasai" ndo liwe vazi la taifa yaani watu ambao hata historia ya makabila ya Tanzania hawamo kivile leo eti ndo nguo yao ipitishwe

Mara baadhi yao wakasema suruali na shati mara makoti ya mipasuo ya "pishan'jambe" duh! Mara wengine wanasema tuvae malapa ya umoja na makobazi

Wengine wakaja na wazo la kuvaa kanga mbili kwa wamama ipitishwe kama vazi rasmi kwa wanawake wa taifa hili

Hayo na mengine mengi watu walikuwa wakipendekeza lakini mpaka leo sijaona mwafaka kwa serikali kutangaza rasmi vazi la taifa.

Ugumu wa kutangaza jambo hilo unajitokeza zaidi mimi nadhani kwa mambo matatu tu tukijikita kudili na hayo basi vazi la taifa wala haitakuwa ishu kulibuni na kulitangaza

Kwanza ni mfanano na mavazi ya mataifa mengine. Yaani vazi utakalotaka kulichagua tayari lina wenyewe mf.suti ulaya, suti nyeusi ya neck tai kama kunguru hiyo ni china ya Mao, nguo za kushonesha vitenge Afrika magharibi huko, kaunda suti sijui wapi kule, nusu kanzu Pakistan yenye likofia kwa wahindi wa Punjab kule, nk

La pili ni wingi wa makabila yenye mavazi tofautitofauti. Hapa napo pagumu maana vazi la taifa si ndo litatakiwa kuwaunganisha zaidi na siyo kuwagawa. India na wingi wake wa makabila na dini ila mavazi yao ni mamoja tu na yanaeleweka kwa wote

Jambo la tatu ni mgawanyiko wa mavazi yenyewe. Yaani inabidi ubuni vazi la juu na chini, viatu na vazi la kichwani ikibidi. Hapo ndo hata wapendekezaji walikuwa wakichemka sana kwani napo panaumiza kichwa kidogo.

Cha kuonesha kwamba serikali haijali hilo ni kwa kutoa mwongozo wa mavazi kwa watumishi wa umma ambao mavazi yake yaliyotajwa humo yote ni "copy, paste and install" ya mataifa ya magharibi.

Yaani ofisini ukivaa dera kosa kanzu kosa msuli kosa kofia yoyote kosa lubega kosa kuvaa hirizi zining'inie zikionekana waziwazi kosa malapa kosa baibui kosa kobazi kosa kujitanda mashuka kosa sendeu/ katambuga kosa kaniki kosa kanga/kitenge kosa kuvaa kitomboni kosa majuba kosa kizibao kosa kushika bakora ofisini kosa

Sasa kama yote hayo serikali inakataza kwenye ofisi zake, mikutano na shughuli za kiserikali (ambapo hayo ndo mwonekano wa wananchi waTanzania asilimia kubwa) je vazi lipi litafaa sasa

Bora tu mngewaachia watu vurugu mechi kama ilivyo kwa mitaani uvae unavyojisikia tu ilimradi nguo haivunji maadili.

Kwani kanga zina shida gani mtu akivaa ofisini au bakora na msuli, au kwani dera baibui na kaniki zina athari gani kazini. Mtu akipiga lubega zake safi zinavuruga nini katika utendaji kazi kwani?. Vipi kuhusu vilemba majaketi mabuti na malapa au vikoi na kuvaa mashuka viunoni au kina mama kujifunga "kitomboni" ndo utanzania wetu, si mtuache tuvae? Kwa nini kuyapuuza haya na kupigia upatu masuti na matai na magauni marefumarefu utadhani sote ni watu wa kanisani au misikitini?

Siyo kwamba napepelea ili kupitishwe vazi la watu fulani lionekane bora tuwe tunavaa taifa zima
wala
Siyo kwamba napondea ili vazi la watu fulani lionekane duni na kudharauliwa, hapana
Bali
Ninachoonelea tusitoe sana kipaumbele kwa mavazi fulani (tena ukute hata siyo ya nchi zetu kiasili) tukayatelekeza na kupuuza baadhi ya mengine
Hijjab lafaa kwa Stara!
 
Taifa lina matatizo mengi ya kushughurikia. Maji tu ya kuoshea hilo vazi bado ni tatizo maeneo mengi nchini.
 
Maelezo yote hayo vazi la taifa? Taifa hili la tozo au?
 
Itafutwe namna hii fashion inaweza kuwa vazi la Taifa kwa wanaume, linapendwa na watu wengi halafu linakaa vizuri. Achana na mambo ya eti hizo nguo za TISS, maana sina uhakika kama ni vazi lao rasmi au wameamua kujibrand na hilo vazi.
Screenshot_20211212-162129_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom