Hashpower7113 JF-Expert Member Sep 26, 2011 1,353 2,137 Aug 9, 2019 #141 Naunga mkono hoja, lipitishwe kuwa vazi la taifa kwa wanawake wote!
Ulweso JF-Expert Member May 24, 2016 23,119 27,937 Aug 11, 2019 #142 TASLIMA said: Hehehehe jifunge na mtandio mamii Click to expand... yaani kujifunga mtandio niwe nao makini maana naweza kuwa nimefika ITV mtandio umedondokea Mwenge haa haaa
TASLIMA said: Hehehehe jifunge na mtandio mamii Click to expand... yaani kujifunga mtandio niwe nao makini maana naweza kuwa nimefika ITV mtandio umedondokea Mwenge haa haaa
TASLIMA JF-Expert Member Jul 23, 2019 3,014 3,574 Aug 13, 2019 #143 Ulweso said: yaani kujifunga mtandio niwe nao makini maana naweza kuwa nimefika ITV mtandio umedondokea Mwenge haa haaa Click to expand... Aisee mtu kawewe burudani sana kuangaliwa ukiwa unapita huku huku.
Ulweso said: yaani kujifunga mtandio niwe nao makini maana naweza kuwa nimefika ITV mtandio umedondokea Mwenge haa haaa Click to expand... Aisee mtu kawewe burudani sana kuangaliwa ukiwa unapita huku huku.
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,552 48,149 Sep 16, 2019 #144 KHANGA utaipenda pale MREMBO awe ametupia VAZI la KHANGA kisha akanyeshewa na MVUA. Nakuambia ni hatari sana
KHANGA utaipenda pale MREMBO awe ametupia VAZI la KHANGA kisha akanyeshewa na MVUA. Nakuambia ni hatari sana