mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 459
WAKUU ,Nawasalimu leo nilikuwa kwenye ziara ya kichama ya chama changu cha ccm na mara nyingi tunapomaliza mkutano napata maswali mengi toka kwa wananchi ni kwanini CCM tumeanza kushona mavazi yanayofanana na yale ya CHADEMA kwa mfano wa kombati, je ni kuwa ndani ya ccm hakuna vijana wabunifu watakaokuja na mtindo tofauti na wachadema ili kuwavuta wananchi wa rika zote,ccm haina watu wabunifu wanaoweza kulibuni hili vazi la RANGI YA KIJANI mpaka tuige MTINDO NA MUUNDO wa chadema.
Wale vijana wakanipa mfano wa viongozi waandamizi wa ccm kama nape nnauye,mwigulu mchemba,mwenyekiti wa uvccm wanavovaa mavazi ya kijani yenye mfumo wa KOMBATI ALIZOBUNI MBOWE wa chadema,nimekuja kuwauliza wanajamvi ni kweli hivi karibuni ccm imeiga vazi la chadema au la,na je kweli ccm hawawezi kuja na mtindo wao wenyewe badala ya kuiga kombati za chadema.nawasilisha