Vazi jipya la CHADEMA

Vazi jipya la CHADEMA

Huyo alialikwa futari, kina "Shehe Ubwabwa" ndio hao. Siku atakapoiona nuru ya Allah hatakuwa na haja ya kanzu! ananchekesha!<dir>
"Do not consider his appearance or his height, for I have rejected him. The LORD does not look at the things man looks at. Man looks at the outward appearance, but the LORD looks at the heart." (1 Sam 16:7)
</dir>
Loh!Sijakusoma muda sasa bibie wa mwambao.Lakini huwa unanikosha sana tu.Cheichei
 
wamependeza,najua kuna inaowachoma cna kuwasifia makamanda,olala weken nying jaman manake mi natembeaga kupooza akili,najua ntakuta mapicha matamu matamu ka haya etc
 
Naam

sasa nchapata sababu ya kuanza kuwapenda CHADEMA. Naomb CCM msinisute kila mmoja anapenda chama na sababu zake

haya ndio mambo tunayotaka sie....kilichobaki ni freeman kuftarisha tuu bas!

pp34.jpg

wed.jpg

Wanajiandaa na kampeni za zanzibar
 
Huyo alialikwa futari, kina "Shehe Ubwabwa" ndio hao. Siku atakapoiona nuru ya Allah hatakuwa na haja ya kanzu! ananchekesha!

<dir>
"Do not consider his appearance or his height, for I have rejected him. The LORD does not look at the things man looks at. Man looks at the outward appearance, but the LORD looks at the heart." (1 Sam 16:7)

</dir>

tuliKumiss! welcome back
 
Hii inaonyesha ni namnagani wana Chadema hatuna udini!
 
wape mwongozo wasiende na viatu ikulu kufuturu wakivua pale getini kabla ya kufikia mkeka DJ (jairo) PL (luhanjo) bado wapo watawaibia wamuulize Mkapa kwenye msiba marehemu Kighoma Malimaalitinga na viatu mpaka ndani kumuuliza alijibu hawaamini pana wezi hapa.
 
Kuna mwana zuoni mmoja anasema kanzu sio vazi la imani yeyote bali ni vazi la kipindi cha joto uko warabuni sio na akuna sehemu kwenye koran inaonyesha
 
Huyo alialikwa futari, kina "Shehe Ubwabwa" ndio hao. Siku atakapoiona nuru ya Allah hatakuwa na haja ya kanzu! ananchekesha!

<dir>
"Do not consider his appearance or his height, for I have rejected him. The LORD does not look at the things man looks at. Man looks at the outward appearance, but the LORD looks at the heart." (1 Sam 16:7)

</dir>
kumbe sometimes una point!! ukiondoa chembechembe za udini utakuja kuwa mama mzuri sana!! hongera
 
kumbe sometimes una point!! ukiondoa chembechembe za udini utakuja kuwa mama mzuri sana!! hongera
huyo mama ama wajukuu,
makunyanzi mpaka kwenye nanihii!
 
Kuna mwana zuoni mmoja anasema kanzu sio vazi la imani yeyote bali ni vazi la kipindi cha joto uko warabuni sio na akuna sehemu kwenye koran inaonyesha
asante sana mkuu kwa maelezo yako mazuri...
 
sasa nisikie oo chadema chama cha wachaga,, oooo sijui nini mmekosa la kusema nakadhalika,
afu nina mashaka na zitto, mbona mara kibao yuko na hawa mahuni wa chichiemu?
hebu nijibuni, kulikoni?
 
Vazi linavutia ila swali langu ni kuwa huko ndani wamevaa suruali au.... maana baada ya futur hali si hali...
 
wamependeza,najua kuna inaowachoma cna kuwasifia makamanda,olala weken nying jaman manake mi natembeaga kupooza akili,najua ntakuta mapicha matamu matamu ka haya etc

Hata haya huna? hebu kajifundishe kuandika kwanza kabla hujaleta upupu wako humu jamvini. Nilipokuwekea rangi nyekundu pafanyie marekebisho. Unanshangaza!
 
Bibi yako hana wajukuu? unanchekesha!
hivi we kuna siku hujagomba?
mhhhhhhhhh kweli kuikubali sisiem ni kujipandishia maprrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrreshaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
nwy, saumu in aendaje?
 
Back
Top Bottom