Vazi jipya la CHADEMA

jamani sio kwamba walienda kuhani kwa mbunge aliyefariki juzijuzi?lazima uvae uhusika inapo bidi.
 
kwani wewe Pinda ungevaa kama wenzako ungekufa? hongereni makamanda mmependeza sana...pia ile dhana mbaya ya magamba na jk kwishieni mbali wanaharamu wa udini nyie...cdm for life....
 
hahaha!! duh! sikuiona hiyo thread!

8.jpg

Ilikuwapo hapa na picha hiyo ya Dau
 
Kanzu na kofia ni moja ya mavazi ya kitanzania kwani mavazi ya kiofisi kwa watu wa pwani hasa Kuanzia Tanga hadi Lindi, Zanzibar. Hongera Mheshimiwa Mbowe wa kudumisha utamaduni wa mtanzania. Watu wenye maradhi ya udini na mswahili syndrome utawasikia wakikebehi ila kanzu na kofia ni sehemu ya utamaduni wa mtanzania.

Kwa ufupi hongereni Waheshimiwa Mbowe na Zitto kwa kudumisha utamaduni wa Mtanzania na muendelezo mshikamano huo huo.
 
Hii ni habari ya facebook na siyo jukwaa makini kama hili.

sijui huyu chalii anataka tujadili nini?

mhhhhhhhhhhh
tutajadili nini sasa hapo jamani??

Huu ujinga upeleke MICHUZI ukajadiliwe.Unaweza kupata washabiki.

Upuuz huo tutolee humu jamvini.
Wakuu hii si ni sehemu ya picha ? iko pahala pake na wanaotaka kujadili hapa sio pa kujadili ni kwa kutoa maneno mawili matatu kuhusu picha.
 
Huyo alialikwa futari, kina "Shehe Ubwabwa" ndio hao. Siku atakapoiona nuru ya Allah hatakuwa na haja ya kanzu! ananchekesha!

<dir>
"Do not consider his appearance or his height, for I have rejected him. The LORD does not look at the things man looks at. Man looks at the outward appearance, but the LORD looks at the heart." (1 Sam 16:7)

</dir>
 
Back
Top Bottom