Sasa hivi naona mitandao inasaidia kuwekeza hizi conspiracy theories. Miaka yote tulikuwa tunaujua kwamba binadamu tunatokana na Adam na Eva au evolution. Sasa hivi kuna theory nyingine kwamba binadamu alikuwa created na Annunaki huyu ni kizazi cha watu wakubwa (Giants) ambao walikuwepo duniani kabla ya gharika kuu. Wanasema Annunaki anatoka sayari inaitwa Nibiru na huwa wanakuja duniani kila baada ya miaka 3500 wakati sayari yao inapokuwa karibu na dunia yetu. Huja duniani kutafuta dhahabu ambayo wao huitumia ku repair roof ya sayari yao wasichomwe na jua pindi inapokuwa karibu na jua. Sasa huyu annunaki ndo alitemper na DNA ya viumbe waliokuwepo duniani na kutengeneza mwanadamu ambaye atatumika kama mtumishi wa kuwasaidia kuchimba dhahabu. So guys conspiracy theories zipo nyingi mnooo
 
Jema Mi nia ni kumpinga AROON

Huyo Aroon na jamaa zake wana matatizo. Wanaona kijicho kwa namna gani Kanisa Katoliki lilivyo kama Maji au Hewa ya Oxygen. Kwa Maji, kwamba usipoyaoga utayapikia au kuyafulia na au kumwagilia na hewa kwamba pasipo kwa yenyewe hakuna maisha.

Kanisa Katoliki lazima liitawale dunia kwa sababu ndio wajibu lililopewa na Kristu: Lolote mtakalolifungua Dunia na Mbinguni itakuwa hivyo na kinyume chake ni kweli.
 
Full Stop and Long Break....

Mkuu Sanctus....
Tazama video hii Rais wa Wasabato akitoa mwaliko wa kusherekea Xmas.....

Hii inanikumbusha nondo zako za nyuma za Za Ellen G White kutaza waumini wake wasivae gold na almas, angali yeye alikuwa akivivaa sana.....

Ona kenge huku wameshupalia Xmas ni upagani angali Huko Marekani Rais wao anasherekea..

Una matatizo
I think you have dirty brain.
Si kila post lazima ukoment Acha ushamba
Tatizo lako umepanic,Kama unategemea kuanzisha uzi hapa ukutane na unaofanana nao akili basi umefeli.

Kama unataka hivyo kusanya kama ni mkeo,watoto sijui mama yako na ndugu zako wengine kisha wahadithie huku umewashikia bakora hao ndiyo watakaokaa kimya bila kukupa changamoto.
 
Huyo Aroon na jamaa zake wana matatizo. Wanaona kijicho kwa namna gani Kanisa Katoliki lilivyo kama Maji au Hewa ya Oxygen. Kwa Maji, kwamba usipoyaoga utayapikia au kuyafulia na au kumwagilia na hewa kwamba pasipo kwa yenyewe hakuna maisha.

Kanisa Katoliki lazima liitawale dunia kwa sababu ndio wajibu lililopewa na Kristu: Lolote mtakalolifungua Dunia na Mbinguni itakuwa hivyo na kinyume chake ni kweli.
Hata haya maandiko wasabato wanayojinasibisha kuyajua na kuyafuata ni ya wakatoliki
 
Hata Christmas ambayo Wasabato hawasherekei ila huko Marekani Rais Wa Wasabato anasherekea na Wasabato....
Hawa JESUIT
No ma marekani ilikuwa na protestant wengi zaidi kabla Katoliki hawaja wapiku 27% sasa baada ya George Bush (Methodist) kubusu pete mara kibao amerudisha relation.
Obama amebusu mpaka madini ya pete yaka yeyuka chezea Jesuit wewe????
 
Hata Christmas ambayo Wasabato hawasherekei ila huko Marekani Rais Wa Wasabato anasherekea na Wasabato....
Jesuits pasua kichwa marekani protestant walikuwa wengi zaidi kabla Katoliki hawaja wapiku nakuwa 28%
Sasa protestant wakaamua kukataa maraisi wakatoliki akaja George bush
Methodist
Akabusu Pete maranyingi na zani mmelewa.
Naakaondoa sheria za kipumbavu na kurudisha kuhusu uhusiano na. Holy see.
Obama kabusu Pete mpaka. Ikapauka na dhahabu ikayeyuka.
Chezea Jesuits
 
Sasa hivi naona mitandao inasaidia kuwekeza hizi conspiracy theories. Miaka yote tulikuwa tunaujua kwamba binadamu tunatokana na Adam na Eva au evolution. Sasa hivi kuna theory nyingine kwamba binadamu alikuwa created na Annunaki huyu ni kizazi cha watu wakubwa (Giants) ambao walikuwepo duniani kabla ya gharika kuu. Wanasema Annunaki anatoka sayari inaitwa Nibiru na huwa wanakuja duniani kila baada ya miaka 3500 wakati sayari yao inapokuwa karibu na dunia yetu. Huja duniani kutafuta dhahabu ambayo wao huitumia ku repair roof ya sayari yao wasichomwe na jua pindi inapokuwa karibu na jua. Sasa huyu annunaki ndo alitemper na DNA ya viumbe waliokuwepo duniani na kutengeneza mwanadamu ambaye atatumika kama mtumishi wa kuwasaidia kuchimba dhahabu. So guys conspiracy theories zipo nyingi mnooo
Papa ka proof Adam na Eva ni fiction.
Hiyo
Internet.org
 
Threads za kitoto sana. Yaani mtu anakusanya sanya videos youtube anakuja kuweka hapa hata akili za kufikiri hana.so pathetic.
we chizi kama jina lako na pia mshamba amna kukusanya video una paste link tu acha ushamba wewembn ni dak ata sijatumia dak 10
 
Back
Top Bottom