Vasectomy inataka kuleta balaa!

umeona sis eeh ndoa ngumuuuuu........
Ukifuata ni kitu gani unahitaji kufanya kwenye ndoa naamini ndoa sio ngumu, ila sema "UMIMI" na "KUKOSA UAMINIFU" ndio kunafanya ndoa ionekane ngumu na chungu kwa wengine, kama wazee wetu waliweza kuishi kwenye ndoa miaka mingi watu wanafanya hadi anniversary za miaka 50 why not us tukiacha tamaa na kumtanguliza Mungu kwa kufanya maombi kuwa waaminifu na kushinda vishawishi tutafika mbali na kumbuka siku zote Mungu hamjaribu binadamu ila sie binadamu tunajitia majaribuni kwa matendo yetu wenyewe
 
Ukifuata ni kitu gani unahitaji kufanya kwenye ndoa naamini ndoa sio ngumu, ila sema "UMIMI" na "KUKOSA UAMINIFU" ndio kunafanya kama wazee wetu waliweza kuishi kwenye ndoa miaka mingi watu wanafanya hadi anniversary za miaka 50 why not us tukiacha tamaa na kumtanguliza Mungu kwa kufanya maombi kuwa waaminifu na kushinda vishawishi tutafika mbali na kumbuka siku zote Mungu amjaribu binadamu ila sie binadamu tunajitia majaribuni kwa matendo yetu wenyewe

I wish sana nikuone na nione hii sura inayotoa busara za namna hii wakati ohata ndoa hana
U say it brother ni uaminifu na kumitanguliza Mungu katika kila jambo
Na ukiwa na upendo wa kweli ambao hauna kudanganya miongoni mwa wanandoa hata huko kucheat na kuachana kitakuwa historia
 
Sio ngumu mdogo wangu Hii issue isikutishe kabisa... ni Ups and downs tu za ndoa....lol...
Inawajenga na kuwafanya wawe imara... hivo yule mchumba usimkatae kabisa...
mmmh kikazi hiki? mpe bishanga ushauri kwanza
 
Ukifuata ni kitu gani unahitaji kufanya kwenye ndoa naamini ndoa sio ngumu, ila sema "UMIMI" na "KUKOSA UAMINIFU" ndio kunafanya ndoa ionekane ngumu na chungu kwa wengine, kama wazee wetu waliweza kuishi kwenye ndoa miaka mingi watu wanafanya hadi anniversary za miaka 50 why not us tukiacha tamaa na kumtanguliza Mungu kwa kufanya maombi kuwa waaminifu na kushinda vishawishi tutafika mbali na kumbuka siku zote Mungu hamjaribu binadamu ila sie binadamu tunajitia majaribuni kwa matendo yetu wenyewe
ameeeeen kaka
 
Hii pasua kichwa kweli,hapo jamaa angetafuta kikongwe kisichokuwa na mpango wa kuzaa tena au demu ambaye anajua hana uwezo wa kuzaa hayo mambo yasingemkuta. Dah! Kweli fikiri kabla ya kutenda au kuamua.
 
Ukifuata ni kitu gani unahitaji kufanya kwenye ndoa naamini ndoa sio ngumu, ila sema "UMIMI" na "KUKOSA UAMINIFU" ndio kunafanya ndoa ionekane ngumu na chungu kwa wengine, kama wazee wetu waliweza kuishi kwenye ndoa miaka mingi watu wanafanya hadi anniversary za miaka 50 why not us tukiacha tamaa na kumtanguliza Mungu kwa kufanya maombi kuwa waaminifu na kushinda vishawishi tutafika mbali na kumbuka siku zote Mungu hamjaribu binadamu ila sie binadamu tunajitia majaribuni kwa matendo yetu wenyewe

Nimekupa ushauri wa working without drinking....lol... Umeona matunda yake?? (una mwaga tu pwoints hapa kwa B)
 
I wish sana nikuone na nione hii sura inayotoa busara za namna hii wakati ohata ndoa hana
U say it brother ni uaminifu na kumitanguliza Mungu katika kila jambo
Na ukiwa na upendo wa kweli ambao hauna kudanganya miongoni mwa wanandoa hata huko kucheat na kuachana kitakuwa historia
Hahaha!!! Ngoja nije nifunge safari nije Hungumalwa nimuone shemeji yangu anayempa happiness Mr. Rocky
 
Mimi naona kwa kuficha siri hayuko peke yake huyu jamaa na kama issue ya kucheat aka kupiga nje inagusa wengi duniani humu si unajua?!

Aisee una kesi ya kujibu ujueee wewe?!

Halafu hizi mambo za kutetea kwenda nje mie sikubaliani nazo Mulama tafadhali sana
Hebu acha kutetea uovu.........Tulia ndani na mkeo/mumeo kama hakufikishi/humfikishi mweleze
Japokuwa nitapata upinzania lakini mie sifagiliii kabisa sio siri
 
Ukifuata ni kitu gani unahitaji kufanya kwenye ndoa naamini ndoa sio ngumu, ila sema "UMIMI" na "KUKOSA UAMINIFU" ndio kunafanya ndoa ionekane ngumu na chungu kwa wengine, kama wazee wetu waliweza kuishi kwenye ndoa miaka mingi watu wanafanya hadi anniversary za miaka 50 why not us tukiacha tamaa na kumtanguliza Mungu kwa kufanya maombi kuwa waaminifu na kushinda vishawishi tutafika mbali na kumbuka siku zote Mungu hamjaribu binadamu ila sie binadamu tunajitia majaribuni kwa matendo yetu wenyewe

Dah dogo leo umeamka poa sana unamisitari imeshuka nidai Al-BAtar nikija
 
Ukifuata ni kitu gani unahitaji kufanya kwenye ndoa naamini ndoa sio ngumu, ila sema "UMIMI" na "KUKOSA UAMINIFU" ndio kunafanya ndoa ionekane ngumu na chungu kwa wengine, kama wazee wetu waliweza kuishi kwenye ndoa miaka mingi watu wanafanya hadi anniversary za miaka 50 why not us tukiacha tamaa na kumtanguliza Mungu kwa kufanya maombi kuwa waaminifu na kushinda vishawishi tutafika mbali na kumbuka siku zote Mungu hamjaribu binadamu ila sie binadamu tunajitia majaribuni kwa matendo yetu wenyewe
wewe utamtanguliza Mungu,utakuwa mwaminifu,utaacha tamaa etc etc sasa mwenzako jeeee,Mkuu si unajua we na mkeo mnakutana ukubwani?
 
Mkuu siku zote unapofanya maombi usijiombee wewe mwenyewe usiwe mbinafsi kwenye maombi muombee na mwenzako hata kama ilikuwa aingie kwenye majaribu kutokana na maombi yako Mungu anaweza kumuepusha, ni kweli wengi wetu tunakutana ukubwani lakini bado tuna nafasi ya kuweza kurekebisha mienendo yetu inawezekana kama ukiamua na inaweza isiwezekane usipoamua vile vile
 
Back
Top Bottom