Vasectomy inataka kuleta balaa!

Hivi jamani nyie, mbona mmechakua thread ya Bishanga, mpaka amewatoroka.

Basi mimi niwatakie jioni njema.

Mbarikiwe wote.

Keren,hawa dawa yao ni kuwafungulia RB,we waache tu

Bishanga................ya leo eh!! Kiboko na hii akili nlonayo leo!! Mh. Kifupi mwuulize huyo shemejiyo kama mumewe amelalamika kwa wao kutokuwa na mtoto, la kama hajalalamika mweleze ajitulize na kupanga namna ya kumweleza mumewe juu ya huo mpango wake wa IVF ili aipate ridhaa ya mumewe. Otherwise anaitafuta talaka kwa nguvu!

Mkumbushe rafiki yako kuwa alichofanya kinawezaitengua ndoa yake hii kwani alificha taarifa muhimu sana kwa mwenzi wake.

huyo jamaa ndo maana aliachana na mkewe kazidi roho mbaya na ni muuwaji anajua kuwa hawezi
kuzaa na hamwambii mkewe wa sasa hiyo ni tabia mbovu sana. (kama unaweza cheat naye azae) ila usimwambie chochote kuwa
muweze hawezi kuzaa tena.
Hapo tu ndipo huwa napandwa hasira na wanaume sijui mkoje roho mbaya tuuu
usituhukumu wote bana!

washauri wa mambo wanasema siku zote usichukue maamuzi wkt una hasira japo ngumu ila tujitahidi kujizuia wakuu,maamuzi mengi wkt wa hasira lazima utajutia baadae,tujifunze kutokana na makosa ya wenzetu kwa ushauri ww mshauri huyo rafiki yako atafute siku nzuri akae na mkewe amweleza ukweli wakiwa wawili tu sasa hapo pia wanaweza kushauriana hilo la kupandikiza mbegu wao wenyewe bila kushawishiwa na watu wengine mkisha amua kuwa mke na mume mambo ya kufichana vitu ndo yanayosababisha migogoro ya kila mara ktk ndoa.

Bishanga................ya leo eh!! Kiboko na hii akili nlonayo leo!! Mh. Kifupi mwuulize huyo shemejiyo kama mumewe amelalamika kwa wao kutokuwa na mtoto, la kama hajalalamika mweleze ajitulize na kupanga namna ya kumweleza mumewe juu ya huo mpango wake wa IVF ili aipate ridhaa ya mumewe. Otherwise anaitafuta talaka kwa nguvu!

Mkumbushe rafiki yako kuwa alichofanya kinawezaitengua ndoa yake hii kwani alificha taarifa muhimu sana kwa mwenzi wake.

you are absolutely right MJ1,kuna kitu kinaitwa null and void ab initio

washauri wa mambo wanasema siku zote usichukue maamuzi wkt una hasira japo ngumu ila tujitahidi kujizuia wakuu,maamuzi mengi wkt wa hasira lazima utajutia baadae,tujifunze kutokana na makosa ya wenzetu kwa ushauri ww mshauri huyo rafiki yako atafute siku nzuri akae na mkewe amweleza ukweli wakiwa wawili tu sasa hapo pia wanaweza kushauriana hilo la kupandikiza mbegu wao wenyewe bila kushawishiwa na watu wengine mkisha amua kuwa mke na mume mambo ya kufichana vitu ndo yanayosababisha migogoro ya kila mara ktk ndoa.

nimekuelewa,poa,nitalifanyia kazi wazo hili

Mimi nimeangalia kwa mtazamo tofauti. Mwanaume ni muongo na mwanamke ni muongo vile vile au kama si muongo soon nae atakuwa hana tofauti na mumewe. Anawezaje kufikiria kupandikiza mbegu ya lijamaa asolijua eti ili apate mtoto bila kushauriana na mumewe?? Kuna tofauti gani na kuamua kutembea nje ya ndoa kutafuta mtoto??? Nani atamuamini kuwa amepandikiza kwa gharama kuuubwa au aliamua kuzini tu bure?

Mwanaume kufanya vasectomy sioni kuwa ni tatizo ila alipaswa kuoa mwanamke mwenye watoto; ukioa mwanamke aso na mtoto na wewe huna uwezo wa kuzaa ni obvious itakuwa tabu. Si watu wote wanaoa ili wazae hasa kama tayari alikuwa na mtoto. Unaweza kuta jamaa wala hajutii uamuzi wake kwani ana shida gani na watoto anao. Yeye ameoa kupata kampani a.k.a starehe; ya watoto wala hayamuhusu.

Embu mshauri huyo dada atafute mtoto yatima alee.

2. Sababu ya pili ya huyu mke kuamua kufanya hivi nadhani inategemea na mahusiano yao humu ndani. Kama baba ni mnoknok asiyetoa nafasi ya kudiscuss mambo yao na maisha yao ni wazi mdada ataamua kufanya maamuzi yake. Kama baba hazungumzii juu ya watoto, au kila likiibuka analipuuza bila kumuashure mdada kuwa yeye hana shida na watoto kwani amempenda yeye na wala lisimpe shida ni wazi mdada atahisi kuwa mumewe anaumia ndani kwa ndani au anamblame!
Mimi nimeangalia kwa mtazamo tofauti. Mwanaume ni muongo na mwanamke ni muongo vile vile au kama si muongo soon nae atakuwa hana tofauti na mumewe. Anawezaje kufikiria kupandikiza mbegu ya lijamaa asolijua eti ili apate mtoto bila kushauriana na mumewe?? Kuna tofauti gani na kuamua kutembea nje ya ndoa kutafuta mtoto??? Nani atamuamini kuwa amepandikiza kwa gharama kuuubwa au aliamua kuzini tu bure?

nyumba ubwa you are very right. Hii ndoa wamekutana wasanii. But lawama zangu mie bado nazielekeza kwa mwanaume ambaye alijijua fika kuwa hatozaa kwa nini akaendaoa mke bila kujua kama ana matarajio ya kuwa na watoto au lah? Kwa mwanamke na jinsi alivyolichukulia hili suala nitamwelewa kwa vigezo viwili
1. Ni wale kina dada waliolelewa kwenye malezi yanayoamini kuwa uwezo wa kupata au kukosa mtoto upo mikononi mwa mwanamke na si kwa mwanaume. So kushindwa kwake kupata mtoto anakuassocciate kabisa na yeye. Amekwenda kucheck afya yake akaambiwa yuko OK lakini bado haamini kuwa tatizo linawezakuwa kwa mumewe kwa sababu katika ulimwengu wake yeye (au aliotoka) Wanaume hawana matatizo ya Uzazi kwani mtotot anatokana na mama!!!. Hali hii inamfanya ashindwe kumwuliza mwenzie na kufikiria njia nyingine. (Ni kama wale wadada wengine ambao huamua kubeba mimba ya mtu mwingine kisa yeye na mumewe wamekawia kupata mtoto. Kuna picha ya Kinijeria niliiangalia zamani inaitwa A Perfect Stranger..... A successful lawyer mwenye mke na watoto wawili, wa kike na wakiume, maisha safi kabisa mpeka siku alipotokea mdada ambaye alishawahikumdate zamani akamwelezqa kuwa alizaa naye mtoto wa miaka saba na anataka matunzo na kila kitu. Lawyer akajiuliza anamuintroduce vije mtoto ambaye ni mdogo kuliko yule wa kwake wa kwanza! Akakaza moyo akamweleza mkewe! Mkewe akawa so cooperative akamkubalia amlete mtoto amlee.
Bahati mbaya Lawyer hakuridhika na uamuzi huo. akaamua kucheck DNA na yule mtoto wa kimada, only kukuta kuwa si wake na zaidi ya yote hakuwa na uwezo wa kumpa mwanamke yeyote mimba.............maswali yakaanza wale watoto wawili nyumbani kwake ni wa nani!!

Mwanaume kufanya vasectomy sioni kuwa ni tatizo ila alipaswa kuoa mwanamke mwenye watoto; ukioa mwanamke aso na mtoto na wewe huna uwezo wa kuzaa ni obvious itakuwa tabu. Si watu wote wanaoa ili wazae hasa kama tayari alikuwa na mtoto. Unaweza kuta jamaa wala hajutii uamuzi wake kwani ana shida gani na watoto anao. Yeye ameoa kupata kampani a.k.a starehe; ya watoto wala hayamuhusu.

Embu mshauri huyo dada atafute mtoto yatima alee.

Hapa nikweli kabisa, he is being selfish pasipo sababu!

Haya mambo ni rahisi. Dada kama ana nia aende kwa mh. Kakobe
aooooooooombeeeeee, huku akimweleza
mzee miujiza inayotokea pale , siku ya siku anamwambia
pale hata kama mbegu hazitoki ukiombewa
mtoto anapatikana, mz. akinyamaza dada anakuja na kamimba
kama hataki buguza basi kila mtu si anao watoto?

Mimi nimeangalia kwa mtazamo tofauti. Mwanaume ni muongo na mwanamke ni muongo vile vile au kama si muongo soon nae atakuwa hana tofauti na mumewe. Anawezaje kufikiria kupandikiza mbegu ya lijamaa asolijua eti ili apate mtoto bila kushauriana na mumewe?? Kuna tofauti gani na kuamua kutembea nje ya ndoa kutafuta mtoto??? Nani atamuamini kuwa amepandikiza kwa gharama kuuubwa au aliamua kuzini tu bure?

tatizo love is blind,kwanza you fall in love maswali mengine ya una mtoto huna,unazaa huzai hayo huja baadae.

Mwanaume kufanya vasectomy sioni kuwa ni tatizo ila alipaswa kuoa mwanamke mwenye watoto; ukioa mwanamke aso na mtoto na wewe huna uwezo wa kuzaa ni obvious itakuwa tabu. Si watu wote wanaoa ili wazae hasa kama tayari alikuwa na mtoto. Unaweza kuta jamaa wala hajutii uamuzi wake kwani ana shida gani na watoto anao. Yeye ameoa kupata kampani a.k.a starehe; ya watoto wala hayamuhusu.

Embu mshauri huyo dada atafute mtoto yatima alee.

Hela wanazoenda kuspend kupandikiza mbegu na kumaintain ingefanya vitu vingine vya muhimu, hii issue haina tofauti na mtu anayeenda kufanya abortion maana siku ukiwa na unataka kupata mtoto inashindikana maana uliishafanya abortion mpaka sasa jamaa anajaribu kukwepa kivuli chake naye mwanamke maskini kwa kotokujua kwa kuona kuwa jamaa ana watoto wawili basi anahisi yeye ndiyo mwenye matatizo sijui jamaa yake Bishanga anajisikiaje kwa hili noma sana yaani anyways sijui mimi maana watu wanaweza kuanza kusema haujaingia kwenye ndoa ndio maana naongea hivi ila all in all it's not fair not fair at all
mh!! umenikumbusha mbali.......naijutia.......ngoja kwanza nipite....hata sijui kama naota ama ilikua kweli.....hapana naota. sioti bali nimelala. nimelala nikiwa macho. mimi sijui bana. mkuu unanitesa

Hii mbona simple... mke akipandikizwa mbegu vyovyote jamaa atajua kagawa uroda nje hivyo ndoa kuwa shakani.... mshauri huyo shem ako amwambie mme wake kuhusu hili wazo kwani yy anaitaji mtoto kama imeeshindikana na yy anampenda njia bora ni kuongea kama mme na mke jamaa nina hakika atakubali ili asimpoteze huyo mke wake ni hayo tu

Back
Top Bottom