Vasectomy inataka kuleta balaa!

Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,343
Likes
86
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,343 86 0
Baada ya jana kukiri nimelikoroga nawashukuru mlionipa pole,mambo yote kwa sasa ni muswano.
Sasa ndugu zangu hebu tushauriane hapa.Nina jamaa yangu ambaye alipata sekeseke miaka michache iliyopita akaachana na mkewe. Kwa kuwa watoto wao walikuwa bado ni wadogo mahakama iliamua wabaki na mama yao na jamaa yangu apeleke matunzo,na kwa kweli anafanya hivyo. Nadhani kwa sababu ya stress za talaka (sina hakika na hili) jamaa aliapa kuwa hataki kuzaa tena,nilimshauri awe na subiri akakataa na hivyo kuna siku tulikanyaga kiguu na njia hadi Marie Stopes na jamaa akafanyiwa vasectomy.
Bahati mbaya au nzuri two years ago alipata mwanamke mwingine wakaoana na apparently hakumwambia hii maneno ya vasectomy.Mama anataka kuzaa,mimba haishiki,na hospitali zote amezimaliza. Kwa kuwa mmewe ana watoto na yeye vipimo vinaonyesha yuko ok basi yeye anaamini tatizo sio mme ila damu zao hazipatani.Shemeji tumeshibana sana,sasa kanifuata anaomba ushauri,anataka aende kwa siri India (yeye ni mfanyabiashara mzuri tu) ili akafanyiwe IVF kwa kupandikiza mbegu ya mtu mweusi ili mradi tu azae ndani ya familia, anasema hataki ku cheat na mwanaume mwingine ili apate mimba. Kanitaka ushauri na contact za clinics za huko. Ukisikia pasua kichwa ndo hii,nimemwambia atulie kwanza niulizie nitampa jibu.To tell or not to tell?

Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,192
Likes
588
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,192 588 280
Hivi ukifanyiwa Vasectomy ndo imetoka huwezi tena kuiunga ile mirija ukapata watoto
Ahhh hiyo mbaya sana

Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,011
Likes
38
Points
145
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,011 38 145
Kwa nini guyo mwanamke hataki kucheat wakati huyom mwanamume amemficha kilema chake?

Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,129
Likes
268
Points
160
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,129 268 160
Huyo jamaa ndo maana aliachana na mkewe kazidi roho mbaya na ni muuwaji anajua kuwa hawezi
kuzaa na hamwambii mkewe wa sasa hiyo ni tabia mbovu sana. (Kama unaweza cheat naye azae) ila usimwambie chochote kuwa
muweze hawezi kuzaa tena.
Hapo tu ndipo huwa napandwa hasira na wanaume sijui mkoje roho mbaya tuuu

Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Likes
233
Points
160
Smile

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 233 160
da bishanga leo umekuja na pasua kichwa sema mimi nina aleji na maswala ya ndoa magumuuuuu.......

Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,343
Likes
86
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,343 86 0
Hivi ukifanyiwa Vasectomy ndo imetoka huwezi tena kuiunga ile mirija ukapata watoto
Ahhh hiyo mbaya sana
you can ila chances ni 50/50 na ni very expensive (inaweza kufikia hata USD 50,000.- kutegemea na class ya hospital)

Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,814
Likes
647
Points
280
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,814 647 280
Duh! Jamaa yako alifanya makosa kutomweka wazi. Mshauri ashauriane na mumewe hilo swala la kupandikizwa mbegu.

Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,343
Likes
86
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,343 86 0
Huyo jamaa ndo maana aliachana na mkewe kazidi roho mbaya na ni muuwaji anajua kuwa hawezi
kuzaa na hamwambii mkewe wa sasa hiyo ni tabia mbovu sana. (Kama unaweza cheat naye azae) ila usimwambie chochote kuwa
muweze hawezi kuzaa tena.
Hapo tu ndipo huwa napandwa hasira na wanaume sijui mkoje roho mbaya tuuu
wasiwasi wangu mimba ikishika njemba si itaua mtu? kama ni roho mbaya hata nyie kinamama wakati mwingine Adolf Hitler cha mtoto kwa jinsi huwa mnatutenda.

Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Messages
15,343
Likes
86
Points
0
Bishanga

Bishanga

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2008
15,343 86 0
da bishanga leo umekuja na pasua kichwa sema mimi nina aleji na maswala ya ndoa magumuuuuu.......
unahitaji ushauri nasaha? unachoogopa nini mhogo wa jang'ombe au?

Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
15,192
Likes
588
Points
280
Mr Rocky

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
15,192 588 280
you can ila chances ni 50/50 na ni very expensive (inaweza kufikia hata USD 50,000.- kutegemea na class ya hospital)
Mhhh hiyo ngumu kabisa
Aongee na mkewe amwambie ukweli kuwa alishafanyiwa hiyo kitu na waangalie namna ya kupandikiza mbegu
Ili hata kama mke akipata mimba asije akatolewa mbio
Ila kufanya hiyo kitu aise ni noma

Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Messages
23,814
Likes
647
Points
280
Husninyo

Husninyo

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2010
23,814 647 280
Huyo jamaa ndo maana aliachana na mkewe kazidi roho mbaya na ni muuwaji anajua kuwa hawezi

kuzaa na hamwambii mkewe wa sasa hiyo ni tabia mbovu sana. (Kama unaweza cheat naye azae) ila usimwambie chochote kuwa

muweze hawezi kuzaa tena.

Hapo tu ndipo huwa napandwa hasira na wanaume sijui mkoje roho mbaya tuuu

hilo lijamaa lingekuwa karibu ungelitwanga ngumi!!?
Tatizo mke akicheat akapata mimba jamaa atajua kabisa si yake. Tena huyo mke ni mwaminifu sana, nimeyapenda mawazo yake.

Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Likes
60
Points
145
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 60 145
Chanzo cha yote ni ukilaza wa huyo jamaa yako,sasa acha wife akapandikizwe mbegu na yeye aendelee kukaa kimya tu alee si amejifanya yeye mfalme wa kuficha siri?

K

KAPONGO

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
1,408
Likes
205
Points
160
K

KAPONGO

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
1,408 205 160
Duh! Jamaa yako alifanya makosa kutomweka wazi. Mshauri ashauriane na mumewe hilo swala la kupandikizwa mbegu.
Ni kweli. Kwani siku huyo mke akitangaza kuwa ana mimba wakati mume anajua hana uwezo wa kutia mimba, atajua kuwa mke wake amepoteza uaminifu na hivyo amegawa uroda nje....chuki itakayozuka kuanzia hapo huenda ikawa kubwa zaidi ya kukosa mtoto!.

Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,129
Likes
268
Points
160
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,129 268 160

hilo lijamaa lingekuwa karibu ungelitwanga ngumi!!?
Tatizo mke akicheat akapata mimba jamaa atajua kabisa si yake. Tena huyo mke ni mwaminifu sana, nimeyapenda mawazo yake.
Tena mangumi ya uso reception yote is laitioff kabisa shenzi sana hili jamaa pambaf zake

Forum statistics

Threads 1,237,103
Members 475,401
Posts 29,278,320