warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,425
Msanii first class kwenye kiwanda cha bongo fleva, mwenye hadhi ya kimataifa, Vannesa mdee, amewaacha midomo wazi baadhi ya mashabiki zake kwa kitendo alichokifanya hivi karibuni kwenye ukurasa wake wa instgram
ambapo aliamua kumsapoti mwanamziki mkongwe asiyechuja, lady jaydee kwenye project yake mpya ya NAAMKA TENA.
Mastaa hao wa kike kwa kipindi kirefu wamekua wakipambanishwa na mashabiki zao nani ni mkali kumzidi mwenzie, kitendo cha vanessa kuamua kumsapoti dada ake Lady JayDee kwa moyo mmoja kimeamsha hisia za mashabiki wengi, huku baadhi yao wakimsifu msanii huyo kuwa na moyo wa upendo kwa msanii mwenzie.
Hata hivyo zimebakia siku mbili tu, msanii lady jaydee mwenye mvuto na swaga za aina yake kudondosha kichupa chake kipya.