Vanesa wa Ambiance yupo wapi wazee?

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,807
13,434
Miaka ya nyuma kidogo alikuwepo mdada pale Ambiance. Alikuwa anaitwa Vanesa kisu cha maana yani. Mrefu mnee kidogo maji ya kunde hivi ana mwanya na macho ya uchokozi sauti nzuriii. dah kila nikienda pale simkuti sijui yupo wapi namtafuta
 
Vanessa mara ya mwisho nilimuona maeneo ya kijitonyama mtafute maeneo hayo na ndio chimbo lake siku hizi
 
Miaka ya nyuma kidogo alikuwepo mdada pale Ambiance. Alikuwa anaitwa Vanesa kisu cha maana yani. Mrefu mnee kidogo maji ya kunde hivi ana mwanya na macho ya uchokozi sauti nzuriii. dah kila nikienda pale simkuti sijui yupo wapi namtafuta

Kuna mmoja wa ambiance anaitwa Jacky, mzur hlf ana tako kubwa Kinoamiguu
 
Back
Top Bottom