Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,721
- 45,129
Fred na McTominay watafute pa kwenda. Fred tayari anatakiwa na timu mbili za Italia. Nahisi Man U watamtoa Fred ili kumpa nafasi De Beek.Pogba
Mkuu Mctominay ni mzuri kuliko huyo vdbFred na McTominay watafute pa kwenda. Fred tayari anatakiwa na timu mbili za Italia. Nahisi Man U watamtoa Fred ili kumpa nafasi De Beek.
Pogba sidhani kama atafunguliwa mlango.
Mimi kama shabiki wa Arsenal nasubiri komedi za uwanjani tu nije kucheka humu.
Ona hapa.Mkuu Mctominay ni mzuri kuliko huyo vdb
Kwahiyo unaangali statistics za ligi ya uholanzi unalinganisha na Epl?Ona hapa.
Hizi ni takwimu za 19/20
-Magoli-
De Beek 8
Scott 4
-Assisst-
De Beek 5
Scott 1
-Minutes per goal/ assisst-
De Beek 147.4
Scott 354.4
-Nafasi zilizotengenezwa-
De Beek 1.9
Scott 0.8
-% ya dribo zilizokamilika-
De Beek 62.5
Hapa Scott hayupo kabisa.
-Usahihi wa Pasi-
De beek 82.2
Scott 80.9
-% tackles zilizofanikiwa-
De Beek 75.9
Scott 75.9
-Intercepetions-
Scott 1.6
De Beek 0.8
Kwa hizo takwimu tunasemaje hapo?
Duh kwa hiyo Ballon D'Or inapokutanisha wachezaji wa ligi zote hua wanakosea eeh? Au hizi tuzo na michuano ya UEFA ni miyeyusho pia eeh?Kwahiyo unaangali statistics za ligi ya uholanzi unalinganisha na Epl?
Epl Mc tominay anakutana na mafundi watupu katikati kwenye kiungo pale uje ulinganishe na uholanzi?
Fikiria mctominay katikati ya uwanja anakutanaga na watu kama
1.Jorginho 2. Kante 3. Xhaka 4. Fabinho 5.Rodrigo
Huyo VDB wachezaji anaokutana nao ni wa kawaida kabisa.
Kwahiyo mkuu! Lingard ni bora kuliko Messi au ni bora kuliko wachezaji wote wa Ligi ya Eredivisie!?Kwahiyo unaangali statistics za ligi ya uholanzi unalinganisha na Epl?
Epl Mc tominay anakutana na mafundi watupu katikati kwenye kiungo pale uje ulinganishe na uholanzi?
Fikiria mctominay katikati ya uwanja anakutanaga na watu kama
1.Jorginho 2. Kante 3. Xhaka 4. Fabinho 5.Rodrigo
Huyo VDB wachezaji anaokutana nao ni wa kawaida kabisa.
Ballon d or ina vigezo tofauti na tunachokiongelea hapa.Duh kwa hiyo Ballon D'Or inapokutanisha wachezaji wa ligi zote hua wanakosea eeh? Au hizi tuzo na michuano ya UEFA ni miyeyusho pia eeh?
Ebwana we jamaa una akili sana sikuwahi kufikiria hivi. Mi naona Man U vinabo pia au we unaonaje?
Sasa lingard anahusika vipi na hii mada?Kwahiyo mkuu! Lingard ni bora kuliko Messi au ni bora kuliko wachezaji wote wa Ligi ya Eredivisie!?
Kama ni hivyo! Wasingekuwa wanaweka Statistics kwa kigezo cha ligi au watu anaokutana nao! VDB pia alikutana na viungo wazuri pia UEFA. Real Madrid, Juventus, Tottenham na nyinginezo.Sasa lingard anahusika vipi na hii mada?
Labda ufungue uzi mpya tuanze kujadili hili.
Tusubiri ligi ianzeHaya wale wachambuzi wetu, wataalam wa soka la Ulaya, tuambiane nafasi ambayo Kiungo mpya wa Man Utd kutoka Ajax ataaenda kucheza? Je, atachukua nafasi ya nani? Je, anaweza akaleta balance kwenye timu?
Karibuni
Sawa mkuuKama ni hivyo! Wasingekuwa wanaweka Statistics kwa kigezo cha ligi au watu anaokutana nao! VDB pia alikutana na viungo wazuri pia UEFA. Real Madrid, Juventus, Tottenham na nyinginezo.
Nilifikiri na wenyewe wanaangalia takwimu ambazo wewe umesema hazina maana kwakua watu wanacheza ligi mbili tofauti.Ballon d or ina vigezo tofauti na tunachokiongelea hapa.