Value ya 0.2 radian ni ngapi kwenye scientific calculator?

Hiyo inakuwa ni degrees au ni Nini mkuu ningependa kujua
To convert radians to degrees, you multiply by 180/π.
So, to find the value of 0.2 radians in degrees:
0.2 radians * (180/π) ≈ 11.459 degrees
Therefore, 0.2 radians is approximately equal to 11.459 degrees.
 
Hapo utakosea. Mfano kwenye logX utaweka hiyo degree au rad?
Jibu linalotakiwa kukadiriwa ni lile la mwisho na siyo kila hatua.
Kumbuka uko limited kutumia SC eg. Fx991 na siyo kichwa.

Ni wapi hapo?

Hata na mimi nasubiri jibu lake
Nadhani jamaa hajaliona swali zima kwenye pepa
 
To convert radians to degrees, you multiply by 180/π.
So, to find the value of 0.2 radians in degrees:
0.2 radians * (180/π) ≈ 11.459 degrees
Therefore, 0.2 radians is approximately equal to 11.459 degrees.
Which is totally wrong as you will need to perform multiple approximations yielding to wrong precision limit given as well as wrong answer
 
Hilo jibu ni sahihi. Siyo kubahatisha. Nimetafuta value ya radian 2 kama kilivyo kichwa cha habari. Nothing more!
 
If the question could be just converting radian to degree, you're ok.
But unfortunately the question goes far away.
Just use calculating devices, no need of using formulae.
 
This is the heading of this thread ''Value ya 0.2 radian ni ngapi kwenye scientific calculator?''
 
Back
Top Bottom