Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jan 31, 2017 #61 jje's said: waoooo, yaan hiyo siku itakuwa very spesho zaidi ya leo nahis. Nimekuzoea but the day I promise to bring some new ideas and wot wot. Click to expand... Naona unavopanga kuchepuka sikuhiyo
jje's said: waoooo, yaan hiyo siku itakuwa very spesho zaidi ya leo nahis. Nimekuzoea but the day I promise to bring some new ideas and wot wot. Click to expand... Naona unavopanga kuchepuka sikuhiyo
kui JF-Expert Member Joined Mar 2, 2009 Posts 6,467 Reaction score 6,500 Jan 31, 2017 #62 espy said: Shukrani mpendwa, na kwako pia. Click to expand... Party wapi sasa?
LadyAJ JF-Expert Member Joined Oct 21, 2015 Posts 7,173 Reaction score 9,656 Jan 31, 2017 #63 Valentina said: Ha haa mwenzangu heri kulia kwenye range bajaji namwachia kui Click to expand... wanakusikia hahahah
Valentina said: Ha haa mwenzangu heri kulia kwenye range bajaji namwachia kui Click to expand... wanakusikia hahahah
Chachasteven JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 1,941 Reaction score 2,048 Jan 31, 2017 Thread starter #64 Nokia83 said: Mimi ndio bado nampanga mama la mama nanihiii Click to expand... Angalia usije ukakuta mwingine anampangia pia.Nawaza tu....
Nokia83 said: Mimi ndio bado nampanga mama la mama nanihiii Click to expand... Angalia usije ukakuta mwingine anampangia pia.Nawaza tu....
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,332 Reaction score 176,114 Jan 31, 2017 #65 kui said: Party wapi sasa? Click to expand... Hebu tumuulize Heaven Sent
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jan 31, 2017 #66 Nyani Ngabu said: Hey Muree...what up..? Click to expand... Cool Nzagamba...
jje's JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 10,886 Reaction score 16,584 Jan 31, 2017 #67 Valentina said: Naona unavopanga kuchepuka sikuhiyo Click to expand... Naanzaje jmn Vale
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jan 31, 2017 #68 Chachasteven said: Dooh!.Vicheko kwenye bajaji hutaki? Click to expand... Akuuuu staki mie. espy ndo anauzoefu nazo
Chachasteven said: Dooh!.Vicheko kwenye bajaji hutaki? Click to expand... Akuuuu staki mie. espy ndo anauzoefu nazo
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Jan 31, 2017 #69 kui said: Teh!, Vale una bahati kaka zangu unaowapenda ni mwendo wa ma Range tu. 🙂 Click to expand... Halafu nini kujificha hivo lakini? Sijui nikununie
kui said: Teh!, Vale una bahati kaka zangu unaowapenda ni mwendo wa ma Range tu. 🙂 Click to expand... Halafu nini kujificha hivo lakini? Sijui nikununie
Chachasteven JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 1,941 Reaction score 2,048 Jan 31, 2017 Thread starter #70 Valentina said: Akuuuu staki mie. espy ndo anauzoefu nazo Click to expand... Hahaha!
kui JF-Expert Member Joined Mar 2, 2009 Posts 6,467 Reaction score 6,500 Jan 31, 2017 #71 Valentina said: Halafu nini kujificha hivo lakini? Sijui nikununie Click to expand... Usininunie my wii, bathi sijifichi tena. 🙂
Valentina said: Halafu nini kujificha hivo lakini? Sijui nikununie Click to expand... Usininunie my wii, bathi sijifichi tena. 🙂
Chachasteven JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 1,941 Reaction score 2,048 Jan 31, 2017 Thread starter #72 jje's said: Naanzaje jmn Vale Click to expand... Unaanza kwa kutaka kulia kwenye nanii ile anayoipenda vale.. kuliko kucheka kwenye bajaji.
jje's said: Naanzaje jmn Vale Click to expand... Unaanza kwa kutaka kulia kwenye nanii ile anayoipenda vale.. kuliko kucheka kwenye bajaji.
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,926 Reaction score 30,072 Jan 31, 2017 #73 Elly Paulo said: Ngoja mie nikae pembeni, jana tu nimeumizwa moyo wangu, wala sina muda kabisa, bora nichape kazi kwa kwenda mbele. Click to expand... Pole sana mkuu
Elly Paulo said: Ngoja mie nikae pembeni, jana tu nimeumizwa moyo wangu, wala sina muda kabisa, bora nichape kazi kwa kwenda mbele. Click to expand... Pole sana mkuu
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,926 Reaction score 30,072 Jan 31, 2017 #74 Evalyn Salt & mamaafacebook & Valentina popote pale mlipo Happy Valentines Day in advance
Chachasteven JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 1,941 Reaction score 2,048 Jan 31, 2017 Thread starter #75 T 1990 ELY said: Pole sana mkuu Click to expand... Kama nakuona unavyoitoa pole,umehai kukumbana na ii kitu nini?
T 1990 ELY said: Pole sana mkuu Click to expand... Kama nakuona unavyoitoa pole,umehai kukumbana na ii kitu nini?
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Jan 31, 2017 #76 Kuishi kwangu kijijini kuliathiri sana, tulijua Kombolela hatukujua kuhusu Valentine.
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Jan 31, 2017 #77 Chachasteven said: Nakuona nakuona Click to expand... Hahaha
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,032 Jan 31, 2017 #78 Nakupenda kila siku Sky Elcat sio mpaka Valentine
Chachasteven JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 1,941 Reaction score 2,048 Jan 31, 2017 Thread starter #79 Mustaphagentleman said: Nakupenda kila siku Sky Elcat sio mpaka Valentine Click to expand... Mubashara!.
Mustaphagentleman said: Nakupenda kila siku Sky Elcat sio mpaka Valentine Click to expand... Mubashara!.
Chachasteven JF-Expert Member Joined Jul 4, 2014 Posts 1,941 Reaction score 2,048 Jan 31, 2017 Thread starter #80 EMMYGUY said: Kuishi kwangu kijijini kuliathiri sana, tulijua Kombolela hatukujua kuhusu Valentine. Click to expand... Hahaha!.but u now know,sio?
EMMYGUY said: Kuishi kwangu kijijini kuliathiri sana, tulijua Kombolela hatukujua kuhusu Valentine. Click to expand... Hahaha!.but u now know,sio?