Chacha Steven Mokiri
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 2,011
- 2,232
Wow!.what is that story behind the names dude.
Hahaha!.time for puppy love sio?Time for the hobgoblins of romance to strike!
Nakuona nakuona[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Happy Valentines STUNTER. .you are such a charmer. ..Washkaji Zangu eeh, STUNTER nawatakia Happy Valentines Day In Advance... joanah venossah ISIS miss_blossom espy LadyAJ rubii Shunie scorpio me ..... Wengine sijawasahau, nitawatag kadri nnavyowakumbuka, msimind kwa sana
Hivi yupo huyu bibie Binamu?
Binamu shukrani sana, Happy Valentine's day to you too ila angalia usigonganishe magari, maana wewe nae umoWashkaji Zangu eeh, STUNTER nawatakia Happy Valentines Day In Advance... joanah venossah ISIS miss_blossom espy LadyAJ rubii Shunie scorpio me ..... Wengine sijawasahau, nitawatag kadri nnavyowakumbuka, msimind kwa sana
Kumbe kuna magari kugongana.Binamu shukrani sana, Happy Valentine's day to you too ila angalia usigonganishe magari, maana wewe nae umo
Na wenye mipango ya kuchepuka siku io wawe blessed pia!.au?Happy V-DAY and remain blessed ndugu zangu watanzania wenzangu. ..love you all...
T seems umeona mengi mkuu.Hi v-day tutayajua mengi wenye damu YA kunguni na wenye damu ya mchele,watu wameshaanza kutakiana heri jambo jema , na wengine watakuja hii ndio Tanzania nayoifahamu mapendo daima...
Huyo wa kuchuna watu mwambie nauza visu.Happy Valentines Day to all Jf Members kwa ujumla wake bila ya kuwasahau
*jje's
*Toto Tundu Stunter
*Faiza fox (hasimu wa wengi a.k.a mama wa ujinga)
*Miss chagga (huyu kasema atawachuna wanaume mpaka mbaki mifupa kisa ile ada ya ex Bf wake)
*Asprin
*Mshana (nakuja kutibu kucha I see)
*Valentina (mamaa wa kulia ndani ya Range)
*HR66 (kuna kukosea na kusameheana,hata kama hujaomba msamaha nimekusamehe)
*ISIS
N.B na wengine wote nawapenda sana
Huo msamiati "Hobgoblins" una maana gan?Time for the hobgoblins of romance to strike!