Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,349
Thanks honey...happy valentine Na kwako pia 💗.nakupenda❣️Happy Valentine![]()
Mwenyekiti mimi mpaa muda hii sijapata kazi mpya...ngoja nipambane



Naomba nijitag hapaHappy Valentines DayView attachment 1702087

MtagHappy valentine kwa my one and only kipenzi![]()
Kumbe tupo wengiiiLonely.... I'm Mrs Lonely.... I have No Body.... On my own.....!!! So Lonely![]()
Jamani si tumekubaliana una wish kwa kiswahili😀😀....anyway najua huto tu kopa ni upendo 🌹🌹♥️🥰🥰♥️🍓🍓🍓
Dulce miel Mi amor
🤣🤣🤣Wewe tena?Haiwezekani mkuu!😂Mwenyekiti mimi mpaa muda hii sijapata kazi mpya...ngoja nipambane![]()
Simtag ng’o.anajijuaMtag
Mtaje!Tunataka kujua ni nani anamiliki na kupapasa guu la Taifa ati!Simtag ng’o.anajijua



Hatumii JF KabisaMtaje!Tunataka kujua ni nani anamiliki na kupapasa guu la Taifa ati!![]()
Kumbe guu la Taifa lina mpapasaji kutoka nje ya JF?🙄Siyo poa!Hatumii JF Kabisa
Usitufanyie hvyo... lengo letu nikulipa majaribu penzi lenu tuone kama lipo strong enoughSimtag ng’o.anajijua


Muda bado.Wewe tena?Haiwezekani mkuu!
![]()
Dulce miel -Sweet honeyJamani si tumekubaliana una wish kwa kiswahili😀😀....anyway najua huto tu kopa ni upendo 🌹🌹
Ngoja nikanywe na soda😍Dulce miel -Sweet honey
Mi amor -i love you