Valentine Hiyoooo....!!!

Valentine Hiyoooo....!!!

hakuna hata mmoja aliyenimwagia PM zake
wananiogopa kwani mm ni mama lao humu mjengoni
halafu isitoshe wanahofu ya kusemwa na M wangu
watajuta wakituma pm zao kwangu maana wata:evil::evil:

Ungejua nnavyokuonea huruma wewe...basi tu.

Hivi mpaka sasa hujapata kweli PMs za kukuonya uachane na mimi?
 
mi i got it covered kwa miss chagga, yaan hakuna tatizo kabisa. nimemuandalia bonge la supraaizi. kwa lugha yetu wenyewe tunasema: silinde sibone ukuthi kuyoba umcimbi omkhulu
 
Last edited by a moderator:
nashukuru sijaona lolote ulilonifanyia kati ya hayo mpenzi. siuji umewafanyia hao wengine. lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom