Vaislay unahtajika

Unajiharibia shosti... 7 5 mm umeona hapa?

nmeona hapo ila tambua yeye ni mtu mzima hata mm ni mtu mzma pia. Nilianza hukoooo. Kama ambavyo hata yeye alianzia hukooo. Lakn hapa ni ukurasa mpya
 
Last edited by a moderator:
nmeona hapo ila tambua yeye ni mtu mzima hata mm ni mtu mzma pia. Nilianza hukoooo. Kama ambavyo hata yeye alianzia hukooo. Lakn hapa ni ukurasa mpya

Aiseee....ngoja tu niyabebe majungu yangu niende nayo
 
Hivi humu huwa wanagongana kweli au ndo wanaishia kuitana wapenzi na kufanya matusi kinguo nguo?

Hii kitu haishii hapa tu inakuwa na muendelezo nyuma ya pazia


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
TAMKO;Mimi Vaislay nimekukubali bwana@7 5 mm, uwe mume wangu lakini naomba useme kabisa mbele ya wote,hutakuwa unachepuka, Wote watakao kumendea mendea utaniambia,watakao rusha mikuki yao PM unanionyesha...

Lakini napenda kukufahamisha mume mtaraji mimi nina lichepuko langu la milele Kaizer nitahitaji muda wa kuliacha taratibu
NDUGU; Dinazarde ICHANA@khantwe naomba muanze maandalizi ya taratibu zoote Mtoto halali na hela nakutegemea sana..... Asprin nahitaji unifanyie mambo ya maujumbe namna ya kudumu ndoani
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh nimeipenda hii ila wasiwasi wangu hawa watu wawili wanaweza kuwa na tofauti kubwa sana ya umri???
 
Hata Kama hujanimention, nakuombea poa mkuu. Kuwa Kama ulivyo hapa jamvini ili asijilaumu kukupenda.
hongera sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kumbee vigezo vya kufanywa kuwa mke saivii ni vingi eh???
 
Hata Kama hujanimention, nakuombea poa mkuu. Kuwa Kama ulivyo hapa jamvini ili asijilaumu kukupenda.
hongera sana mkuu.

hahahaaa....asante sana dikembe...niombee kheri.
nikipata tatizo nitakuja kulia kwako usije nifungia mlango
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…