ha ha ha! Ndg yule jamaa niliwahi kuona comment zake alikuwa akitukanana na watu wengi ikiwa ni pamoja na huyu bibie lakn hapo ndipo nilipomgundua kuwa Vaislay anajitambua
Subiri kesho asubuhi tu utakuta thread ya mheshimiwa kombola a.k.a bom a.k.a calliber 7 5 mm kuwa amepigwa mzinga analia kama yule....... nani vile kanunua mpaka luku manina halafu hakuna papuchi.......... Vaislay tuanze kuandaa pambano lako pale kati.....???