anaanza kutajwa wa daima halafu wengine wanafata, subiri utatajwa tu...jamaa hajajua mke anayemtaka anamichepuko miguuni na kichwani lol!!!:smile-big::smile-big:
ni kweli ndg yale maneno unayoyaongea sku zote ndio hutoa picha ya kile kilichomoyon sku zote.
Nmegundua ni mtu anayejitambua,na anaitambua hali ya maisha yanaendaje?