jitahidi kumrudisha mtoto kwenye line utakataje tamaa kirahisi afu usichukulie serious wote wanafanya jokes humu
sio wao tu ila hata yeye anaonesha kuwa na was was na mm sijui ananichukuliaje? Simhitaji kwa starehe bali kimaisha lakn kama yeye nafsi inamsita siwez kumlazmisha kwasababu sijui moyo wake unasiri gani
Mkuu hata mitego hii midogo imekushinda!!Hapo ulikuwa unapimwa utayari na busara zako,wewe ushakimbilia kusema "JF hakuna wanawake!!Kwa hiyo Vaislay keishakuwa dume tayari!??
Hukuwa na mapenzi ya dhati wewe!Kirahisi hivo unakata tamaa!!
umeona eeeeeh yani kajikatia tamaa kabisaaaa
afu shem umenionea wapi utafiti wangu jamani nimemiss mpaka naumwa lol

tuweke utani pembeni kwani ulikuwa unataka awe mke wako serious????
Yaaani kwanza afungue uzi wa kututaka radhi sisi tuliooa hapa hapa JF,anaposema JF hakuna wanawake,na awaombe radhi wanawake wote wa JF!!Pia afute kauli yake!!
utafiti come zis wei please, miss chagga mwambie dad wako anatafutwa huku!
mkuu sijamsema yeye ila nmeshangazwa sana na jinsi ambavyo mashangingi wamelivalia njuga hili swala na kumtaka asiwe na mm. Watawezaje kumjaji mtu kiivyo wakat hata sijawatamkia wao?? Kiukweli nmekeleka sana na coment za baadhi ya wadau humu
hilo analitambua yeye anajua kwahatua niliyofikia kujionyesha kwake kama angekuwa na nia anaweza kujua ni nn msimamo wangu kwake
mkuu sijamsema yeye ila nmeshangazwa sana na jinsi ambavyo mashangingi wamelivalia njuga hili swala na kumtaka asiwe na mm. Watawezaje kumjaji mtu kiivyo wakat hata sijawatamkia wao?? Kiukweli nmekeleka sana na coment za baadhi ya wadau humu
mkuu sijamsema yeye ila nmeshangazwa sana na jinsi ambavyo mashangingi wamelivalia njuga hili swala na kumtaka asiwe na mm. Watawezaje kumjaji mtu kiivyo wakat hata sijawatamkia wao?? Kiukweli nmekeleka sana na coment za baadhi ya wadau humu
sasa kwanini usingemalizana nae huko huko pm hapa wenzio wanajua labda unachangamsha genge tu
Yaaani kwanza afungue uzi wa kututaka radhi sisi tuliooa hapa hapa JF,anaposema JF hakuna wanawake,na awaombe radhi wanawake wote wa JF!!Pia afute kauli yake!!
utafiti come zis wei please, miss chagga mwambie dad wako anatafutwa huku!
sasa hao mashangingi unaowasema ni kina nani mbona unazidi kuwavunjia heshima dada zako
punguza ukali wa maneno
Hahahaaa mkuu kumbe hujaijua vizuri JF,ulikuwa unapimwa hapo!Sio kupenda tu,tunaangalia na busara na hekima katika kuamua mambo!
Kama mashosti wanaongea na mkeo stori zao na kila mara na wewe unatoka unajiunga nao,na maneno unachangia,tunakuwa na wasiwasi!
Umemuona Kaizer?Kachangia post moja tu basi kamaliza!
Wewe unamuoa mkeo sio mashemeji wala mashosti!Rafiki/mashosti wa mkeo wakikukera,unaongea na mkeo tu,sio kwenda mitaani kuwatafuta hao mashosti kujibizana!
sasa hao mashangingi unaowasema ni kina nani mbona unazidi kuwavunjia heshima dada zako
punguza ukali wa maneno
ok! Am sory for that dada